Mkuu
Unacheka as kana kwamba nchi mbili zikiwa zinachukiana ni kama ugomvi wa mke na mume kwenye majumba yenu..
Not really..
Mzee,hapa hu-deal na nchi za kipumbavu kama uchafu Burundi,au Sudani Kusini au Rwanda au mavi mengine..
Una-deal na serious country yenye clout na yenye uzito na yenye soft and hard powers put together!
It is very sad tunapoona Kenya ni mavi kama mavi mengine bila kuelewa hawa watu wana power kiasi gani....
Too bad hawa ni economic giants wa hapa East Africa,wa pili ambao ni sisi,ni half ya their capacity...hilo si tatizo sana
Kenya ina soft power more than any country in this region,with the global superpowers au hapa hapa...
Rwanda,Uganda,etc hapa EA wanamheshimu Kenya zaidi kuliko TZ maana economically Kenya ana volume kubwa ya trade nao kuliko sisi,hiyo pia sio ishu sana
Uhuru kama Uhuru ana demand more respect than Mawe and all others put together by the shear weight ya Kenya...
Wakubwa wa dunia wanamuona Kenya kwanza hapa EA halafu baadae sana ndio waulize TZ ni mavi gani....Mezani popote Kenya ana demand weight than anybody hapa EA,thats the FACT!Muulize Kikwete
Baada ya hapo,kuna international missions zetu aidha UN au AU au popote tunapoenda kufatilia maslahi yetu huko duniani,kuna camps,iwapo Kenya atasema asikusapoti kwa lolote na wanaoelewana nae hawakusapoti unabaki kama TZ of which hutoboi popote!
Kenya amefanya ban ya whatever alichofanya,then ni very unfortunate wale wote Kenya alio na influence nao wakifata atakachowaaambia,then we are doomed na mavi yetu tutabaki hapa DSM kujitapa na sijui tuna mahindi,sijui tuna maharage,etc..blah blah
Usijifanye wewe ndio una influence hapa duniani hujui Kenya anayo zaidi yetu na it is the matter of pulling strings.....
Ila ugomvi wote huu does not benefit anybody,kibaya ni kwamba sisi masikini zaidi yao ndio huu ugomvi utatuletea hasara zaidi yao wao...
Effects zinauma zaidi kwa masikini kuliko tajiri...
Rai yangu ni kwamba,tujibu hoja zao,tuwa-convince waelewe...ugomvi waweke kando tujenge pesa..There is more money to be made for everybody....