Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

Guy bring the facts and figures, stop yapping and give the empty words full of emotions. Otherwise you will never be invited to attend real men's meetings.

😛😝😜
Facts gani mzee baba?

FACT ni kwamba Kenya ni giant East Africa on every economic metric na]]katika factor of 2 na Tanzania ni half of them ambae ni wa pili?

Unataka FACT gani mzee?

Mbona unakua linafiki sana aisee?

You know everything,sema una unafiki fulani sana!

Kusema mwenzako kakupita kwa Fact sio dhambi wala haikufanyi upoteze utu wako,ni kweli na una acknowledge kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii uwapite na wao!

Hio ni kweli,acheni mambo ya kisenge bwana!
 
Huyu hawezi akaelewa the fundamental question "why the GDP is not a good measure of economic development and citizens welfare?".
Aisee

GDP ina matatizo yake, kisichokua na matatizo na mapungufu ni kipi ukiweke hapa?

Kusikilize wewe kwa maneno yako eti umeona kwa "macho" yako?

Please brother acha kututukana our intelligence!
 
Haya jamaa wa kukariri mambo wanakumbuka sana safari hii. Miaka 4.7 tu ya Jiwe pamoja na miezi 4 ya Covid-19 imeonyesha uhalisia wa hizo GDP za makaratasi.
Sasa bro

Tutumie kipimo gani kisichokua na flaws?

Vipimo vyote vina flaws!

Tutumie kipimo cha "macho" yako wewe binafsi,eti nilipita Nairobi na Dar es Salaam nikaangalia kwa macho yangu Kenya ni masikini na Tanzania ni masikini?

Bro,hebu tuweni serious bwana!
 
Watanzania wamekuwa "mazwazwa"!...ni upumbavu wa watanzania kufikiria kwamba Kenya haiwezi kufanya shughuli zake bila Tanzania!
Kenya haina tofauti na "developed"countries they are getting everything from Europe sasa sijui Tanzania tatizo letu ni nini.
Unajua asilimia ya chakula kenya inayotegemea Tz? Unajua makampuni ya Kenya ni moja ya yanaongoza Afrika kuwekeza Tz? Unajua Tz ni kwa kiwango gani ni soko la baadhi ya products zao?
 
Facts gani mzee baba?

FACT ni kwamba Kenya ni giant East Africa on every economic metric na]]katika factor of 2 na Tanzania ni half of them ambae ni wa pili?

Unataka FACT gani mzee?

Mbona unakua linafiki sana aisee?

You know everything,sema una unafiki fulani sana!

Kusema mwenzako kakupita kwa Fact sio dhambi wala haikufanyi upoteze utu wako,ni kweli na una acknowledge kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii uwapite na wao!

Hio ni kweli,acheni mambo ya kisenge bwana!

Bado huna facts uliyoweka zaidi ya emotions.
Please if you dont have any tangible words to utter stop quating me.
 
Bado huna facts uliyoweka zaidi ya emotions. Please if you dont have any tangible words to utter stop quating me.

Mzee Eliakeem acha unazi basi, tuseme takwimu za World Bank za uchumi tangu mwaka 1962 hizi nchi zipate uhuru Kenya ni ahead of everybody EA nzima mpaka tunapoongea!

Na ni too bad gap linazidi kuongezeka as time inapopita!

Kwahiyo Fact ni mpaka nichukue majedwali ya WB niweke humu wakati unayajua mzee?

Eti tangible words,mzee tables za WB si unazijua na ulishazisoma sana,sasa unafiki wa nini?

Wewe ndio una FACTS zaidi ya World Bank?

Macho yako ndio yana facts zaidi?
 
Usisifia gep la GDP tu uangalie na gap la nchi kumtegemea mwenzake maana hii ndio siraha kubwa kuliko hiyo gdp unayolilia ,usiombe kua tegemezi unaemtegemea awe na roho nzur ila akiwa na roho mbaya kama Kenya andika umeumia.
 
Usisifia gep la GDP tu uangalie na gap la nchi kumtegemea mwenzake maana hii ndio siraha kubwa kuliko hiyo gdp unayolilia ,usiombe kua tegemezi unaemtegemea awe na roho nzur ila akiwa na roho mbaya kama Kenya andika umeumia
Mkuu

Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala

Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!

Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!

Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!

Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!

Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu.

Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!

Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...

Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi.

Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote.

Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!

Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine.

Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!

Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living, and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!

Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo.

Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak filled with wrong socialistic dogmas!
 
Mkuu

Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala

Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!

Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!

Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!

Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!

Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu...

Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!

Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...

Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi...

Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote....

Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!

Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine....

Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!

Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living....and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!

Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo....

Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak minded population filled with stupid socialistic dogmas!
Kwanza kabisa mm cwez kusoma hadithi ,nimesoma mistar 10 tu ila nimegundua hujanielewa .Mimi sijamaanisha mtu mmoja mmoja nimesema nchi Kwa nchi . Kenya GDP ipo kubwa na unalalamika wametupita sawa linapokuja swala la kupimana ubavu Kati ya TZ na Kenya kama sasa hivi tunavyiona Kati ya China na Marekani ktk kila mmoja kutetea maslai yake Kenya ataitumiaje GDP kuiadhibu TZ iliona GDP ndogo hilo ndio swali langu
 
Kama unabishana na mtu,hata kama hujasoma post yake yote,ni bora usiseme tu maana ni kama umwabie na yeye asisome post yako..

Ni very funny wewe unategemea mimi nitasoma post yako yote halafu wewe kwangu usisome!

Ukubwa wa post ya mtu unatumia kipimo gani kulinganisha?Huna kipimo

Ishu ni kwamba,hujasoma my post na mimi sijasoma your post exactly the same way!

GDP kubwa ni kitu muhimu sana kuonesha hii nchi ina uzalishaji na trade volume kiasi gani.

Kenya ina clout kubwa zaidi ya TZ economically na ki-umaarufu na influence kwa other nations!

Kenya kibiashara ni muhimu zaidi huko duniani zaidi ya Tanzania maana ina trade volume kubwa zaidi....Kibiashara TZ itafatwa baadae baada ya Kenya kula share

Sasa unadhani Kenya hana nguvu ya ku-pull strings na kuinyima Tanzania benefits kwa vitu kadhaa wa kadhaa globally?

Think again!

Muulize Kikwete alipata ugumu gani kutetea Kiswahili kitumike AU na nani alikua anakataa kisitumike!

Uzuri Kikwete ni master wa diplomasia akaa nao kidiplomasia wakakubali....It was Kenya who blocked that shit out!

Huo ni mfano mmoja tu,tena wa lugha kuu ya nchi zote mbili!

Kwenye hela na biashara je?Kenya aki-pull strings kuna vitu tutakosa!
 
Kama unabishana na mtu,hata kama hujasoma post yake yote,ni bora usiseme tu maana ni kama umwabie na yeye asisome post yako..

Ni very funny wewe unategemea mimi nitasoma post yako yote halafu wewe kwangu usisome!

Ukubwa wa post ya mtu unatumia kipimo gani kulinganisha?Huna kipimo

Ishu ni kwamba,hujasoma my post na mimi sijasoma your post exactly the same way!

GDP kubwa ni kitu muhimu sana kuonesha hii nchi ina uzalishaji na trade volume kiasi gani.....

Kenya ina clout kubwa zaidi ya TZ economically na ki-umaarufu na influence kwa other nations!

Kenya kibiashara ni muhimu zaidi huko duniani zaidi ya Tanzania maana ina trade volume kubwa zaidi....Kibiashara TZ itafatwa baadae baada ya Kenya kula share

Sasa unadhani Kenya hana nguvu ya ku-pull strings na kuinyima Tanzania benefits kwa vitu kadhaa wa kadhaa globally?

Think again!

Muulize Kikwete alipata ugumu gani kutetea Kiswahili kitumike AU na nani alikua anakataa kisitumike!

Uzuri Kikwete ni master wa diplomasia akaa nao kidiplomasia wakakubali....It was Kenya who blocked that shit out!

Huo ni mfano mmoja tu,tena wa lugha kuu ya nchi zote mbili!

Kwenye hela na biashara je?Kenya aki-pull strings kuna vitu tutakosa!
Sasa comment au ndio habari husika
 
Sasa comment au ndio habari husika

Mkuu

Usisumbuke sana,huu mjadala tuachane nao tu.

Usha-judge tayari mimi sio worthy opponent ku-discuss with you,hivyo hakuna maana ku-discuss zaidi!

Ni bora tukaacha maana kama mmojawapo kaona hakuna haja ya kusoma post ya opponent wake basi by definition mjadala umeisha!

Your opponent nae hatasoma utakachoandika,sasa hakuna maana kabisa ya kuendelea ku-address each other!

Thanks man,peace out!
 
Mkuu

Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala

Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!

Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!

Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!

Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!

Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu...

Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!

Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...

Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi...

Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote....

Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!

Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine....

Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!

Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living....and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!

Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo....

Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak filled with wrong socialistic dogmas!

ushauri wa bure kwako, "ni vyema ukazipitia post zako kabla ya kutuma".
 
Nadhani labda tuseme uwezo sio kifedha ila uwezo wa asset kwenye jamii. Au wa mtu mmoja mmoja wa hali ya chini. Tanzania wengi wa hali ya chini wana umasikini wa kifedha lakini asset wise ni matajiri. Mfano chukua vijana kumi randomly umri kuanza miaka 20 hadi 35 wengi wanamiliki ardhi wapi? Mostly likely Tanzania lakini Kenya labda awe koo ya Kenyatta. Labda ni uliza ni 'weli au laa? Lakini pia hiyo Nairobi imejengeka sana kwasababu ya investment ya mashirika mengi lakini pia na wakoloni walichangia sana hatuwezi linganisha na dms wakati wa uhuru na sasa, aun linganisha maendeleo ya Nairobi na dsm wakati wa uhuru wa Tz I bet Nairobi was far better so dsm imejengwa na watanzania at most.
Sasa bro

Tutumie kipimo gani kisichokua na flaws?

Vipimo vyote vina flaws!

Tutumie kipimo cha "macho" yako wewe binafsi,eti nilipita Nairobi na Dar es Salaam nikaangalia kwa macho yangu Kenya ni masikini na Tanzania ni masikini?

Bro,hebu tuweni serious bwana!
Y
 
Nadhani labda tuseme uwezo sio kifedha ila uwezo wa asset kwenye jamii. Au wa mtu mmoja mmoja wa hali ya chini. Tanzania wengi wa hali ya chini wana umasikini wa kifedha lakini asset wise ni matajiri. Mfano chukua vijana kumi randomly umri kuanza miaka 20 hadi 35 wengi wanamiliki ardhi wapi? Mostly likely Tanzania lakini Kenya labda awe koo ya Kenyatta. Labda ni uliza ni 'weli au laa? Lakini pia hiyo Nairobi imejengeka sana kwasababu ya investment ya mashirika mengi lakini pia na wakoloni walichangia sana hatuwezi linganisha na dms wakati wa uhuru na sasa, aun linganisha maendeleo ya Nairobi na dsm wakati wa uhuru wa Tz I bet Nairobi was far better so dsm imejengwa na watanzania at most.
Y
Mkuu

Naona unanichanganya sasa.......Wananchi wa Tanzania wana assets zipi ambazo Wakenya hawana?

Ardhi?

Watanzania gani wenye ardhi?

Kwa statistics wenye ardhi Tanzania ni old people na sio vijana,acha kudanganya!

Wewe mwenyewe una ardhi heka ngapi zenye tittle deed?Huna

Una assets gani?

Tuhuma kwamba kuna watu wachache wana own ardhi Kenya na Tanzania ni the same!

Kuna familia ni the biggest landowners in Tanzania,William Lukuvi alishindwa kuwataja!

Unachotaka sema ni mfumo wa ardhi ownership Tanzania ni tofauti na Kenya..

Kenya land ni owned by a person moja kwa moja kama ilivyo USA,Tanzania ardhi ni mali ya serikali mwananchi unaazimwa!

Tanzania in real sense ardhi yetu yote ni worthless,ni mali ya serikali wananchi ni wapangaji tu!

Ardhi ya Kenya ina make sense zaidi na ndio maana ni ya thamani zaidi ya Tanzania kwasababu ni mali halisi ya mwananchi husika....

Blah blah blah,sijui Tanzania ni kubwa zaidi ya Kenya hivyo Watanzania ni matajiri wa ardhi,huo ni upumbavu maana Kenya tumewapita ukubwa kiasi kidogo cha 15% na thamani ya ardhi haiangaliwi kwa ukubwa wa metric numbers,ni thamani ya eneo kama eneo!

Ndio maana 20x20 ya Masaki ni bilioni 2 na heka 500 Tandahimba ni laki moja tu!

One another thing,asset unayosemea ya ardhi ni hoja mufilisi sana maana unachosema ni cha uongo kwasababu Tanzania maeneo yaliyopimwa rasmi na kupangishwa watu ni 10% ya ardhi yote,kithamani the remaining 90% ni worthless ardhi...

Mapori ni mali ya serikali,wewe umeenda kujikatia huo unajifurahisha tu,utajenga na kulima basi tu wanakuacha sababu hawana muda na wewe,ni ardhi worthless,huwezi iweka benki wala chochote....endelea kujidanganya!
 
Baada ya ile sindano ya kwanza ya kuisimamisha kq kwenda Tanzania, sasa na zingine zaongezwa. Tunataka ifikie mpaka kwenye magari yanayokwenda Mang'ora kununua vitunguu.
 
Back
Top Bottom