Usisifia gep la GDP tu uangalie na gap la nchi kumtegemea mwenzake maana hii ndio siraha kubwa kuliko hiyo gdp unayolilia ,usiombe kua tegemezi unaemtegemea awe na roho nzur ila akiwa na roho mbaya kama Kenya andika umeumia
Mkuu
Nashukuru kwa kuingia kwenye mjadala
Hilo gap la mwananchi na mwananchi ni la dunia nzima,hakuna nchi wananchi wanalingana!
Vidole havilingani,watu hawalingani,and it will never happen!
Kilichopo tuangalie vitu ambavyo binadamu ana uwezo navyo na anaweza vipima na kuvitolea uamuzi,GDP ni mojawapo wa hizo metric japo ina mapungufu yake!
Kwa mimi muumini wa ubepari wa wazi na soko huru,economic gaps between watu ndani ya nchi is none of anybody's business na infact ni parameter controlled by the people individually!
Kenya ni mfano halisi wa kuigwa kwa nchi za ukanda wetu huu.
Kenya inaishi kwa vitendo kwenye uchumi wa soko na ubepari huru na waliandaliwa tangu mwaka 1962!
Sisi ma-capitalist libertarianists tunaamini wananchi waachiwe huru wafanye chochote wakitakacho kujijengea mali kwa kadiri ya uwezo wa akili zao,serikali isimamie sheria tu...
Wananchi wakiwa huru,uzalishaji wao hauwezi kufanana kwa hali yeyote,wenye akili na juhudi watapata mali nyingi zaidi ya wajinga na wasio na juhudi.
Hawa wajinga na wasio na juhudi ni jukumu lao kuishi kwenye shida kama walivyojitakia na serikali haitakiwi kuchukua our public funds kuwasaidia kwa lolote.
Infact ni vizuri na bora wakafa kabisa maana kazi yao ya msingi ya ku-survive for whatever means neccesary na kazi hiyo ya asili imewashinda ambapo ni kosa lao wahusika na sio mwengine yeyote yule!
Hakuna mtu kaja duniani kuingia gharama kuendesha maisha ya mwanadamu mwingine.
Jukumu kubwa la kiasili ya kila kiumbe hai tulilonalo ni kutumia nguvu na akili zetu zote ku-survive,hicho kikimshinda mtu ni haki yake afe,na ni rightful so!
Kenya kama nchi na group of people they are living proof of this crucial best way of living, and we all have to copy and live better and execute this capitalism better than them kwa hii nchi kuona 21 century!
Otherwise tutabaki na mawivu ya kitoto na hii nchi itakuja kupotea kama ilivyo.
Malawi amechukua ziwa nyasa,Kenya atachukua northern Tanzania and nothing you can do maana the whole country ni weak filled with wrong socialistic dogmas!