GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bunge la wananchi litakuwa na CHADEMA na hilo la CCM litakuwa la posho na walaji wa kodi
 
Kwa sasa nini kifanyike ili kwa huu muda mchache REFORMS zifanyike na CHADEMA tushiriki uchaguzi October 2025 ?

Kwa hapo nilifikiri jibu unalo wewe!
 
Kwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
CCM inachukua rasilimali watu wake walioenda upinzani, kumbukka hapo mwanzo kulikuwa ni CCM tu, na wapinzani walitoka CCM, wapinzani kurudi nyumbani kwa baba yao CCM ni uhalisia wa mambo, so usilielie na kuilaumu CCM "Let nature take its course"
 
Kwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
wote ni uzao wa CCM kurudi kwao ni natural (gone back where they belong), ni vichwa matikiti tu ndyo hawawezi elewa hiyo theory
 
Mpinzani wa kweli hawezi kuruhusu kura yake ikaibiwa kizembe. Bagonza alitoa neno juu ya kulinda kura yako. Werevu walimsikia nadhani watalifanyia kazi.
 
Mpinzani wa kweli hawezi kuruhusu kura yake ikaibiwa kizembe. Bagonza alitoa neno juu ya kulinda kura yako. Werevu walimsikia nadhani watalifanyia kazi.
exactly, ni bora kujitoa au kutolewa ulingoni kama ilivyokuwa kwa CDM
 
CCM inachukua rasilimali watu wake walioenda upinzani, kumbukka hapo mwanzo kulikuwa ni CCM tu, na wapinzani walitoka CCM, wapinzani kurudi nyumbani kwa baba yao CCM ni uhalisia wa mambo, so usilielie na kuilaumu CCM "Let nature take its course"
CCM imejaa vichwa maji ndio maana inategemea brains kutoka CHADEMA
 
Punguza mihemko.
 
Tatizo lenu ni kukosa Akili .....Samia ndiye asiye taka UCHAGUZI NA GENGE LAKE LA WAHALIFU NA WAHUNI tumieni akili ...Samia amesha jipitisha na kujiteua kuwa rais pamoja na wabunge awatakao na kuwaondoa asio wataka ...anacho jatibu samia kukifanya ni kutengeneza mazingira feki ionekane kuwa tanzania kumefanyika uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…