GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Fanya utafiti mtaani kuhusu mwitikio wa wananchi kuhusu uchaguzi utajua
mbona NRNE wapiga kura wengi hawaijui kabisa, ni kitu cha mtandaoni tu, mtaani wanafuatilia kwa karibu uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani, na ndyo habari kuu ya mitaani
 
The principles or natural laws becomes obvious to anyone who thinks deeply and examines the cycles of social history. These principles surface time and time again, and the degree to which people in society recognize and live in harmony with them moves them toward either survival and stability or disintegration and destruction.

Mabadiliko ni sehemu chanya ya maisha ya mwanadamu.

Charles Darwin's most famous quote about change is, "It is not the strongest of the species that survives, nor the most intelligent, but the one most adaptable to change,"
 
HAHAAAAAAA YAAANI NA CHADEMA WANA WAGOMBEA WAO CCM?
 
..siku ya kupiga kura wananchi waitumie kupumzika au kufanya shughuli ndogondogo.
wananchi wote wanamsimamo wa CDM?? sema wafuasi wa CHADEMA wanaoguswa, wapumzike siku ya upiga kura kwa sababu chama chao hakitashiriki
 
Mkuu mmoja ili iweje??? Kwani maisha hayaendelei toka 2020??? Uzuri wote bei ya vitu na huduma tuna lipa bei sawa!!!
 
Kilichowahi kufanyika ''on right timing '' kwenye siasa zinazohusisha chama tawala ni kipi?
Tangu enzi za nccr,cuf now chadema?
 
Kma wewe
 
Chama cha siasa kisichoshiriki uchaguzi yafaa kifutwe kabisa.
Siasa sio uwanaharakati.
mmekaribishwa Ikulu kunywa sharubati na korosho zaidi ya mara mbili lakini mmeendelea kubehave kihuni mbele ya mustakabali wa Taifa.
Kuna shida kwenye reasoning yetu: the way we reason, and all the time wrong reasoning results in wrong conclusions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…