Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

Ukiwatafuta unakuta story ni tofauti kabisaa

Mm nikadhan kwamba unaingia nao mkataba. Na Unawekeza . Mfano Kila siku au baaada ya muda unaweza kuanza kuweka/kutuma kuanzia 5k. Alaf kuna
Kiwango ukifika mfano 500k. Basi unaweza kukopa nusu ya hiyo hela na ukachukua mzigo wa 750k.
Na ukaendelea kulipa kwa muda fulan bila interest.

Ila pia utaratibu mwingne (kujua eneo la ujenzi na kujicommit utamaliza lini deni) unafuatwa.

Nia ni kusaidia wanaojenga kwa kuwakopesha vifaa. Na kulipa Kwa hali ya unafuu na affordability.

Sina uhakika. Ila Ni project hii mtu mwenye mtaji wa hardware anaweza kufanya.
 
Nimekuelewa
 
Ndio inawezekana sana mpango ni huu kama una kiwanja.
1-nunua tofali za kuchoma
2- mota tumia tope
3- bati piga maputo style ile ya saidia masikin
4- msingi tumia mawe
5- dirisha piga wavu tu
6- chini piga zege nchi 3 badala ya 5
7- ripu piga kwa ratio mfuko mmoja ndoo 30.
8- vyumba unaeza vifanya 3*3
 
Ukiwa MWABAGALU hiyo ni pesa ndeefu sana sanaaa

😁

Kwa dar es salaam hio ni pesa ya nauli TU. Bado hujala bado familia bado kodii bado hujasaidia WAZEE bado hujapiga BIA nachoka mie clemence mwandambo
Sijui niiweke vipi naona sijaeleweka, laki mbili ndio pesa ya mkononi kila mwezi, bado nipo kwa wazazi
 
Ahsante sana, kwa maana hiyo natakiwa niwe naisave mwaka hadi mwaka nafanya kitu, umenipa mwanga
 
Hii imenipa nguvu sana, ubarikiwe hadi ushangae
 
Nifuate DM kuna namna fulani hvi naweza kukupush endapo utakua una nia ya kujenga.

lakini zingatia ulioambiwa hapo juu kwamb hutawez kujenga yote kwa pamoja kwa kipato hiko. anza chumba kimoja kimoja
Shukrani sana, nitakutafuta na ushauri nimeupokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…