Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La mkopoUnanunuwa gari ya shilling laki 4?
Acha na hiyo story. Kama Unataka ule mchicha na dagaa kila siku endeleaKwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Nani anayetoa ruhusa ya kumiliki na kutomiliki?Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Kama unaishi kijijini na familia inawezekana, kama ni mjini achana na hayo mawazoKwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Dogo hebu oga chap uwahi lectureUnaweza kumiliki gari mtu asikukatishe tamaa!
Ningekua mimi ndio wewe na kipato changu cha laki 6 na ninataka kumiliki gari ningemiliki kwa utaratibu ufuatao
Ningenunua na sio kukopa gari
Ningempa mtu gari alifanye uber kila siku anipe kiasi fulani malipo kwa kila wiki
Asubuhi ananipeleka kazini na ndinga langu, siku nikiwa na dharula muhimu nachukua ndinga kuenda nayo
Kiufupi, kipato chako miliki gari inayokuingizia hela na sio wewe utoe hela kwenye 600k kuhudumia gari.
Lecture ndio nini? Aliyesema 600k hawezi kumiliki gari ni nani?Dogo hebu oga chap uwahi lecture
Jamaa anadharauLecture ndio nini? Aliyesema 600k hawezi kumiliki gari ni nani?
Very good una mawazo ya biashara may God bless youUnaweza kumiliki gari mtu asikukatishe tamaa!
Ningekua mimi ndio wewe na kipato changu cha laki 6 na ninataka kumiliki gari ningemiliki kwa utaratibu ufuatao
Ningenunua na sio kukopa gari
Ningempa mtu gari alifanye uber kila siku anipe kiasi fulani malipo kwa kila wiki
Asubuhi ananipeleka kazini na ndinga langu, siku nikiwa na dharula muhimu nachukua ndinga kuenda nayo
Kiufupi, kipato chako miliki gari inayokuingizia hela na sio wewe utoe hela kwenye 600k kuhudumia gari.
- Hakikisha gari haizidi 1500cc. Utaweza kuimudu.Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc
Wewe ni genius 👏Unaweza kumiliki gari mtu asikukatishe tamaa!