Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

Kuna kipato Fulani ukimiliki gari, lenyewe linakukataa, yaani haufanani nalo kuanzia mavazi, makazi na chakula unachokula.... Unamiliki gari huku dukani unadaiwa dagaa wa 2000.
Vijana tuwekeze kwenye kilimo na viwanda vidogovidogo.
 
Daah...kumbe kumiliki gari ni lazima uwe tajiri
 
Asante kama unashauri kwa experience ya kumiliki gari...niko hapo kupokea ushauri nisije kukurupuka
Rudia kusoma vizuri comment yangu.... Mfano binamu yako au jirani anapiga simu saa nane za usiku kuomba msaada apelekwe hospital, wewe unajibu gari halina mafuta. Hilo gari linakuwa limekununua wewe.
 
Acha na hiyo story. Kama Unataka ule mchicha na dagaa kila siku endelea
Wewe Ni masikini bado. Hudumia familia kwanza
Kwa hiyo kula dagaa na mchicha ni umasikini!??? So Hawa ma-doctor wanatudanganya!!???
 
Kama ndio take home yako sikushauri ununue gari brother, nunua pikipiki.
 
Back
Top Bottom