Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

Tuseme per day unatumia mafuta ya 7000 hapo kwa mwezi ni 210,000 bado gharama za service kwa haraka haraka ukitoa matumizi ya gari kwenye huo mshahara kwa mwezi utakuwa unabaki na laki 3 na kitu.

Hiyo laki 3 kwa matumizi tu ya pachelor anatoboa mwezi kwa mbinde na sijui kama unafamilia
 
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.

Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc

Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Cc 2500 ni engine kubwa sana (crown ,verosa,mark x fortune prado tx) izo ni engine ambazo zina karibia iyo cc uliyosema itakutia hasara kaka
Kwanz lazima uwek bajeti ya wasrin kama 150,000 mafuta per month hapo aijazingua chocht
Je gari utalilaza wapi nyumban au ikailipie ambayo bajeti yake 60,000 per month
Achan n izo story
 
Unaweza kumiliki gari mtu asikukatishe tamaa!
Ningekua mimi ndio wewe na kipato changu cha laki 6 na ninataka kumiliki gari ningemiliki kwa utaratibu ufuatao

Ningenunua na sio kukopa gari
Ningempa mtu gari alifanye uber kila siku anipe kiasi fulani malipo kwa kila wiki
Asubuhi ananipeleka kazini na ndinga langu, siku nikiwa na dharula muhimu nachukua ndinga kuenda nayo

Kiufupi, kipato chako miliki gari inayokuingizia hela na sio wewe utoe hela kwenye 600k kuhudumia gari.
Mawazo mazuri
Shida huyo jamaa kwa hiyo laki sita hadi asave ifike hela ya kununua gari ni ngumu
Automatically ataingia mkopo
🚀
 
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.

Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?

Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Nunua tu kijana ili tukutane kwenye petrol stations zilizotapakaa kote nchini, na huku bei ya mafuta ikiendelea kupaa kila uchao.
 
inafaa kabisa ila usiwe umeoa, tafuta yale wanayaita vigari vya kuonga michepuko。
 
Unataka nani akuruhusu, kumiliki gari, wakati ni wewe mwenyewe unajipima, unahitaji gari kwa ajili ya nini.. na kuamua ununue au usinunue.
 
Back
Top Bottom