Cc 2500 ni engine kubwa sana (crown ,verosa,mark x fortune prado tx) izo ni engine ambazo zina karibia iyo cc uliyosema itakutia hasara kakaKwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500cc
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Au unaonaje upande wakoWewe ni genius 👏
Mawazo mazuriUnaweza kumiliki gari mtu asikukatishe tamaa!
Ningekua mimi ndio wewe na kipato changu cha laki 6 na ninataka kumiliki gari ningemiliki kwa utaratibu ufuatao
Ningenunua na sio kukopa gari
Ningempa mtu gari alifanye uber kila siku anipe kiasi fulani malipo kwa kila wiki
Asubuhi ananipeleka kazini na ndinga langu, siku nikiwa na dharula muhimu nachukua ndinga kuenda nayo
Kiufupi, kipato chako miliki gari inayokuingizia hela na sio wewe utoe hela kwenye 600k kuhudumia gari.
Unajitafutia stress tu wew,KM 5 ndio umbali wa kutumia gari?tena cc2500Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu
Hapana Hadi uwe na walau Milioni 3Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Nimefurahi sana.Dogo hebu oga chap uwahi lecture
Nunua tu kijana ili tukutane kwenye petrol stations zilizotapakaa kote nchini, na huku bei ya mafuta ikiendelea kupaa kila uchao.Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
vipuuzi sana hivi vitoto,ndo hivi vikiwa kwenye vimbweta vinadanganya ooh mm bila mshahara wa milion moja sifany kaz😏Nimefurahi sana.
Ingekuwa rahisi kama alivyoandika kila mtu angekuwa na gari ya biashara.