Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Hii ngoma isipoingia mkono wa siasa
Amini nakwambia simba hachomoki
The only way ya simba kuchomoka kwny huu msala ni siasa kuingilia kati which is illegal lakin ndo mfumo wa mpira wetu TZ
Simba achomoke vipi kwani simba ni ule mwiko wenu kule nyuma? Chomoeni kwanza ule mwiko halafu tuwaambie simba wanataka kufanya nini
 
Back
Top Bottom