The Legacy Hivi bado mnawaelewesha hawa vyura? Yani mm nimeamua niwe nawachora tuu...watu unadhani wana akili kumbe wameshakua mazuzu yanayosubiri point 3 za mezani....kwa hoja zao dhaifu eti Simba wamekimbia...nani kati ya uto na Simba wamefanya makusudi ili mechi isiwepo....
1) Kama uto walijua wataifunga Simba why wawakodi wale mabaunsa machawa wakafanye fujo...kama walikua wanajiamini kwanini wakae BM mpk muda ule kuisubiri simba...
2)Kama hoja ni mbuzi sijui.. mara wazee wafupi...why wasitoke getini bus likapita la wachezaji...
Yani inshort hao Uto wana kesi za kujibu...na walivyo viazi wakaendelea kuvunja sheria..wakaingia mlango usio...wakaruka mageti...wakaenda kujifanyisha warm up bila kuwepo wasimamizi wa mchezo ikiwemo refa...tayari bodi ishasema hakuna mchezo...
Kweli wenye akili ni 2
Angalizo...kwa sasa Simba ni brand kubwa Africa..so kama mlifikiri mtawaendesha kwa upuuzi wa kuvunja kanuni eti mnasema si wacheze tuu hilo sahauni...na mjue mpk kufikia hayo maamuzi vilikaa vichwa kujadili hajakurupuka Zubeda mwenyewe...kuna vifungu vya sheria vimepitiwa na wanasheria konki....sio kama wa upande wa pili...kila kesi chalii....
Haya kwaherini mfungo mwema wa Kwaresma na Ramadhan...
.