Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

Ahahahahahaaa...!! Yaani 51mba na bodi ya ligi, hapa kuna loophole ya Yanga kuwakaba.
Hakuna mzee wa utakuja kuniabia mimi nimesoma hiyo barua zaidi ya Mara 10 ,Alieandika ana akili sanaa.

Na anavijua hivi virabu nje ndani na Tabia zake.
 
Sina uhakika to be honest,Ila kwa Hali ya kawaida Bodi ya Ligi haiwezi jibu barua ambayo haijatumwa kwao,

Sijui unaelewa point yangu,kwamba from hewani bila barua yeyote toka Simba bodi ifanye maamuzi kama yale
Hakuna barua ya malalamiko toka Simba kwenda bodi ya ligi. Hii pekee inaweza ikafanya kikao kilichoamua mechi ighairishwe kionekane ni batili. Sijui kama unanielewa.
 
Simba imefuata taratibu halali kuomba mchezo usifanyike
Mamlaka halali inayosimamia ligi ikakubaliana na kuhairisha mechi

Sasa huu utabaki mtifuano kati ya mamlaka iliyo hairisha mechi dhidi ya wanaopinga uamuzi huo

Simba msiingize kwenye mijadala yenu
Mnajadili as if Simba iligoma tu kupeleka timu uwanjani bila kufuata taratibu
 
1. Simba hawakumwambia yeyote juu ya nia yao ya kufanya mazoezi muda waliokwenda uwanja wa taifa..!!
2. Simba walitangaza kabla ya kikao kuwa hawatashiriki mechi kwa kuandika taarifa kwa uma..!!
3. Simba haijaandika barua yoyote ya malalamiko kuhusu jambo hili kwenda bodi ya ligi..!!
4. Bodi ya ligi imekaa kikao huku hakuna barua ya malalamiko toka kwa Simba..!!
5. Bodi ya ligi wameghairisha mechi bila kulalamikiwa na yeyote..!!
 
Hakuna barua ya malalamiko toka Simba kwenda bodi ya ligi. Hii pekee inaweza ikafanya kikao kilichoamua mechi ighairishwe kionekane ni batili. Sijui kama unanielewa.
We una uhakika gani kama Simba hawakupeleka barua Bodi ya Ligi?
Na hapo Bodi ya Ligi inanukuu

Soma bro usikurupuke
 
Attachments

  • 508cde73-9a68-4b0d-a978-b78b7b8b821d.jpeg
    508cde73-9a68-4b0d-a978-b78b7b8b821d.jpeg
    78.8 KB · Views: 1
Alieandika Hii Barua ya Bodi ya Ligi ana akili sana,Trust me ana akili vibaya mnoo💪🏿
 
We una uhakika gani kama Simba hawakupeleka barua Bodi ya Ligi?
Na hapo Bodi ya Ligi inanukuu

Soma bro usikurupuke
Huu nao ni mtego kwa bodi ya ligi. Wasije dhani ile taarifa kwa uma ndo barua ya kwenda bodi ya ligi. We kama unayo hiyo barua iweke hapa.
 
Simba walitangaza kabla ya kikao kuwa hawatashiriki mechi kwa kuandika taarifa kwa uma..!!
Simba haijaandika barua yoyote ya malalamiko kuhusu jambo hili kwenda bodi ya ligi..!!
Bodi ya ligi imekaa kikao huku hakuna barua ya malalamiko toka kwa Simba..!!
Bodi ya ligi wameghairisha mechi bila kulalamikiwa na yeyote..!!
Simba ina UHURU wa kutangaza chochote mkuu

Unaandika as if unafanya kazi bodi ligi na umekagua ukakuta Simba hawajawasilisha malalamiko yao rasmi bodi
 
Alieandika Hii Barua ya Bodi ya Ligi ana akili sana,Trust me ana akili vibaya mnoo💪🏿
If at all hiyo barua ipo..!! Otherwise kikao kinaweza onekana ni batili..!! TRUST ME as well.Maana si kila wale wahusika wakikutana basi ni kikao cha bodi ya ligi..!! Wakati mwingine wanaweza kutana kwenye bia..!! MJUMBE ALIYEJIUZURU AMEONA MBALI
 
Simba ina UHURU wa kutangaza chochote mkuu

Unaandika as if unafanya kazi bodi ligi na umekagua ukakuta Simba hawajawasilisha malalamiko yao rasmi bodi
Time will tell
Ila umeandika kama mtu aliyeishiwa hoja.
 
Huu nao ni mtego kwa bodi ya ligi. Wasije dhani ile taarifa kwa uma ndo barua ya kwenda bodi ya ligi. We kama unayo hiyo barua iweke hapa.
Bro Barua ya Bodi Ya ligi inasema hivi nanukuu
” Club Ya simba iliiandikia barua bodi ya ligi”
Mwisho wa kunukuuu

We umeelewaje hapo? Means kuna barua iliandikwa sasa sijui unataka bodi ya ligi au simba pia waiweke mtandaoni?
 
Nimeelewa sana bro. Kwa mujibu wa bodi ya ligi, ni kwamba wameandikiwa barua na Simba. Ila mpaka sasa hakuna aliyeiona barua hiyo, labda bodi ya ligi pekee. Kama haipo, ni mtego kwao. Watanasa vibaya.
 
katika hili SIMBA imefuata taratibu zote kikanuni kuomba mchezo usifanyike kwa kupeleka malalamiko rasmi bodi(rejea barua ya bodi ikikiri kupokea malalamiko toka Simba)

Tunaomba maamuzi za mamlaka ZIHESHIMIWE
 
Sawa wacha tusubiri kama watasema chochote

Naamini pia Yanga waliandika barua Kwa bodi ya Ligi.
Badala ya kuhangaika na kuleta Team uwanjani wangeandika barua same same day.
 
Sawa wacha tusubiri kama watasema chochote

Naamini pia Yanga waliandika barua Kwa bodi ya Ligi.
Badala ya kuhangaika na kuleta Team uwanjani wangeandika barua same same day.
Yanga hawakuwa na cha kukilalamikia. Wao walijua muda wa mechi ni ule ule, kwa tarehe ile ile...!!
 
katika hili SIMBA imefuata taratibu zote kikanuni kuomba mchezo usifanyike kwa kupeleka malalamiko rasmi bodi(rejea barua ya bodi ikikiri kupokea malalamiko toka Simba)

Tunaomba maamuzi za mamlaka ZIHESHIMIWE
Una uhakika barua unayodai Simba imeiandikia bodi ya ligi ina mstari unaoomba mechi ighairishwe? Simba walishaamua kutoingia uwanjani kama walivyosema kwenye taarifa yao kwa uma

1741607102711.png
 
Umeandika ujinga, Ishu ya Usalama wanaotoa Ripoti ni Jeshi la Polisi na wenye mamlaka za Usalama. BODI YA LIGI wanajuaje masuala ya USALAMA bila taarifa ya Jeshi la Polisi na hao ndio wenye dhamana ya Usalama? Pia unajuaje usalama wakati mechi ni Jioni na Jeshi la Polisi wamepeleka ulinzi pale?
Umeandika Upumbavu.
Ofisa Usalama aliyetajwa yupo kisheria au hapana?
 
Back
Top Bottom