binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Na kimsingi yanareflect kitu kuhusu CCM na si CDM.Hivi kwa structures za sasa, kuna mtu alitegemea matokea tofauti na tunayoyaona?
Mimi ntamshangaa mwana CCM kufurahia haya matokeo. It was expected. No surprises.
Anatatizo gani? Mbowe ndiye size ya CCM Kwa vigezo vingi. Mnataka mletewe vidagaa ili muwanunue kama nyanya sokoni?Huyu mchaga mwenzenu mnampenda sana mpaka mmekuwa vipofu.
Anatatizo gani? Mbowe ndiye size ya CCM Kwa vigezo vingi. Mnataka mletewe vidagaa ili muwanunue kama nyanya sokoni?
Lissu angeweza ila atawaprovoke CCM watamtwanga risasi tena.
Sasa wewe si ndio utufumbue macho. Tueleze anakosea wapi badala ya kusema aondolewe tu. Huyu mchaga amefungwa, amenyang'anywa biashara zake lakini bado anapambana. Wewe umefanya nini zaidi yake?Huyu mchaga mwenzenu mnampenda sana mpaka mmekuwa vipofu.
Felipe Nyusi kaondolewa kwa helikopta kwenda mafichoni. Hubris ni kitu kibaya sana.
Mbowe hana shida CCM wanamuogopa sana ndio maana wanafanya propaganda aondoke kwenye uenyekiti kwa sababu ni tishio sana kwao.Sasa wewe si ndio utufumbue macho. Tueleze anakosea wapi badala ya kusema aondolewe tu. Huyu mchaga amefungwa, amenyang'anywa biashara zake lakini bado anapambana. Wewe umefanya nini zaidi yake?
Amandla...
Usipige ramli atoke hapo Mbowe apishe watu wengine halafu uje hapa utoe maoni , kila mtu anaona mzee Mbowe kwasasa hakuna tena kipyaAkili tofauti ya Mbowe ikoje? Unataka kuniambia kuwa Mwenyekiti akiwa Heche, akitangaza maandamano, mtatoka muandamane? Mmeshindwa kuandamana kupinga mauaji na upoteaji wa wananchi kwa sababu tu Mbowe ndie aliyeyaita?
Amandla...
Wanapoondolewa wagombea wa upinzani hamuongei yakija matokeo mnakuja Kama wajinga wasiojua kuwa ccm wamepita bila kupingwa?Ukitaka uonekane huna akili na mazombi ya Mbowe, wewe sema Mbowe atoke pale kwenye uenyekiti, mimi naungana na wadau wengine muda umefika Mbowe kupisha akili mpya
Kabisa! Kukweli sidhani kuna nchi wanasiasa wa upinzania wanapata taabu kama Tanzania.Na kimsingi yanareflect kitu kuhusu CCM na si CDM.
Miaka karibu 8 ya CDM kutaabishwa bado ikiingia kwenye uchaguzi inapata viti?
CCM wanapaswa kujitafakari sana.
Mpuuzi kabisa wewe! Huyu mmemuua eheee? Mmelaaniwa ninyiMnataka yule mkurya amfate dg wa who
Wakati wale wanafunzi wanaandikishwa hawakuelewa mchezo huo una maana Gani. Labda walifikiri kuwa siku ya kupiga kura watoto wale wanafunzi wangeenda kwenye vituo, kumbe karatasi zao zilizokwisha pigwa "tiki" ndizo zilizowasilishwa.. Maamae zao Chama cha majambazi.Hivi kwa structures za sasa, kuna mtu alitegemea matokea tofauti na tunayoyaona?
Mimi ntamshangaa mwana CCM kufurahia haya matokeo. It was expected. No surprises.
Kwamba miaka thelathini ya uwenyekiti wake haijatosha kuimarisha Demokrasia?Ndio hivyo Mbowe haondoki maana hanunuliki ili aimarishe demokrasia nchini. Hatutaki iwe kama vyama vingine bandia.
NO HATA UKIPEWA WEWE CHADEMA HUTAWEZA.Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Yaani ukiangalia kwa undani maisha ya mwafrica au mtanzania, utagundua viongozi wetu na (enablers wao) wanafanya juhudi kubwa kuturudisha nyuma baada ya kutusogeza mbele.Wakati wale wanafunzi wanaandikishwa hawakuelewa mchezo huo una maana Gani. Labda walifikiri kuwa siku ya kupiga kura watoto wale wanafunzi wangeenda kwenye vituo, kumbe karatasi zao zilizokwisha pigwa "tiki" ndizo zilizowasilishwa.. Maamae zao Chama cha majambazi.
Chama kinaamini siasa za twiter kuliko kwemda groundπββοΈπββοΈπββοΈKwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Unaepiga ramli ni wewe ambae unashindwa kusema nini hasa ni udhaifu wa Mbowe. Katika siasa huyo unaemuita Mzee bado ni kijana.Usipige ramli atoke hapo Mbowe apishe watu wengine halafu uje hapa utoe maoni , kila mtu anaona mzee Mbowe kwasasa hakuna tena kipya
Tupe mfano wa kwenda ground.Chama kinaamini siasa za twiter kuliko kwemda groundπββοΈπββοΈπββοΈ
Mbowe amenunuliwa na MARIDHIANO FAKE, CDM inahitaji mabadiliko ya kiuongozi sasaNdio hivyo Mbowe haondoki maana hanunuliki ili aimarishe demokrasia nchini. Hatutaki iwe kama vyama vingine bandia.