Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hivi nguvu mngewekeza kwenye kutafsir vitabu vya physics chemistry na hesabu hadi chuo afrika tungekua mbali sanaBiblia ndo tayari ni Kiswahili hiko, ukienda mataifa mengine nao wana lugha yao ya kuiita.
Ila kwa sisi makobaz, Quran yetu n hvy hvy dunia kote mana imetumwa kwa dunia nzima pamoja na lugha zao tofauti ni kwa sababu Allah wetu anaongea kiarabu tuu 😎
Inasikitisha sana mkuuHivi nguvu mngewekeza kwenye kutafsir vitabu vya physics chemistry na hesabu hadi chuo afrika tungekua mbali sana
Ina maanisha nini?Biblia ni kiswahili, hiyo ya makobaz siifahamu.
Dunia haiko kwa mtindo mmoja. Hata huko kwenye maendeleo wapo watu kazi Yao ni kujadili aina za rangi.Hivi nguvu mngewekeza kwenye kutafsir vitabu vya physics chemistry na hesabu hadi chuo afrika tungekua mbali sana
Kutafsiri jina ni kosa katika muktadha wa utambulisho, mfano wewe unaitwa Allen maana ya jina lako ni mzuri, hivi watu wakianza kukuita mzuri unaweza usingefurahia au hata kujua kuwa unaitwa wewe, hivyo majina ya vitu bora yabaki kwa asili yake ili yasije kutotambulika.Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha.
Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?