Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

Unarudi kinyumenyume ukiwa unaelekea aliko muarabu, UNATEGEMEA NINI..!!??

CC Bantu Lady , Kalpana
 
Mbona na Wewe kila mara tu 'Unawekwa' kama Kuku na huoni kuwa ni Useless activity kwa Afya yako na hushangai / hujishangai?
Kitu pekee unaweza ni matusi na uzuri hamna tusi jipya...useless
 
Ndiyo alikuwa Dereva wa Basi la Jana la Simba SC lililokuwa likirudi Kinyumenyume vile huku Mwarabu akisubiri Kushindilia zote Tatu Fasta Fasta au?
Wacha mpigwe kabisa Simba na Yanga maana nyie humu nchini huwa mnashinda kwa michongo lkn mkienda Kimataifa ndo hivyo.......kwa namna hiyo mpira hauwez kuendelea Tz kamwe hatuwezi na leo Yanga nae atapigwa nyingi tu kuanzia 2
 
Mbona na Wewe kila mara tu 'Unawekwa' kama Kuku na huoni kuwa ni Useless activity kwa Afya yako na hushangai / hujishangai?
Kwahiyo, unachodhani yeye anakifanya unakitumia kuhalalisha unalolifanya?
 
Wacha mpigwe kabisa Simba na Yanga maana nyie humu nchini huwa mnashinda kwa michongo lkn mkienda Kimataifa ndo hivyo.......kwa namna hiyo mpira hauwez kuendelea Tz kamwe hatuwezi na leo Yanga nae atapigwa nyingi tu kuanzia 2
We usifananishe Yanga na vitu vya kijinga..!!! Unatufananishaje na madunduka? Unatufananishe na wa nguvu moja kwenda kinyumenyume?
 
Hivi kuna nyanja katika jamii yetu ambapo ushirikina haufanyiki? Unafki tu wa Watanzania. Au kwa kuwa hili limefanyika waziwazi?
 
Sema tu unataka kuitungia jina timu yako
 


Kwa match zilibaki hii ndio option ya pekee
Imagine team nzima inaenda kwa ajili ya hili🤣🤣🤣🤣
 
Hahahha mimi nilikua utingo..
Zile zilikua mbwembwe tuu acheni mawazo ya kichawi
Visit Tanzania inaaibika kabisa asee!! Au ndio utarii wenyewe enyi wenye Nchi 😅🙌🙌🙌
 
Genta wewe una ID ngapi hapa JF?Halafu ni rahisi sana kujulikana kutokàna na uandishi wako na mapenzi yako kwa Simba.
Jinsi popoma ameandika uzi imekaa kisomi sana dizaini ni kama vile ni mwanaYanga aliejivisha ngozi ya Simba! Kwa desturi wanasimba hujisifia sana kuwa wako fit hadi dakika ya mwisho Mnyama Yuko kibla anachinjwa Bado ananguruma tu!!

Popoma Ameandika lugha mbaya ambayo mwananchi hawezi kuandika kuiponda utopolo yake halikadhalika kwa Makolo fc.

Inawezekana Popoma Mino amehamia Yanga kinyemela baada ya Babu Onyango Jana kutokana na ulevi wake wa asili wa mirungi kukosa akili ya mpira na kushindwa kukaba mpira na badala yake kuishia kumshika mtu

na kama Popoma amehamia Utopolo akili ziko sawa na Wala si ajabu sana yeye kuhamia UTO , wako kina Senzo, Barbara ( mdomoni Simba moyoni Yanga + Hersi), Manara, Diamond Platnumz, Magu ( moyoni) etc, hawa ni watu wanaojitambua Huwa hawashabikii ujinga na vitu vibovu kama Simba hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…