Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume.

Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa tunaenda Kukutana na Waarabu ambao ni Watekelezaji wazuri wa Watu wanaopenda kurudi Kinyumenyume vile.

Hiki Kitendo cha Basi la Simba SC lililobeba Wachezaji wa Simba SC jana kuendeshwa ( kurudi ) Kinyumenyume vile wana Simba SC tujiandae Kubatizwa Majina mabaya na ya Kuudhi ila tuwe Wavumilivu kwani Waliotuponza na Viongozi wetu Waandamizi kwani Wao badala ya Kuiandaa Timu Kisayansi na Kimkakati wakaamua Kuwekeza muda wao mwingi katika Ulozi / Uchawi.

Tumejidhalilisha, tumejidhalilisha nchi na tumeuchafua mno Mpira wetu kwani baada ya lile Tukio la Aibu tulilofanya Afrika Kusini la Kuwasha Moto Kiuchawi katikati ya Uwanja ( na bado tukafungwa Gongo Nne ) jana kwa Upumbavu ule ule tumefanya Kituko kingine cha Basi kurejea ( kurudi ) Kinyumenyume na bado Mwarabu Katukandamizia Goli za Idadi ya Condoms katika Pakiti yake.

Tumebakiza Kunya tu kwa Mkapa.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
kwa hili nakuunga mkono
 
Hivi geshi la polisi halina msemaji wa kuzungumzia hili tukio la kuhatarisha usalama barabarani tena lina ushahidi Tosha??!!"**
 
Visit Tanzania inaaibika kabisa asee!! Au ndio utarii wenyewe enyi wenye Nchi 😅🙌🙌🙌
Hivi acheni kujitoa akili...Simba bado inawakilisha nchi
Jana serikale yote ilikua pale...
😭
 
Mtani hapa mmetudhalilisha, uchawi upo lakini sio wa wazi kiasi like.. dah bado nakufungwa mkafungwa😅
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
 
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
Watu wa ajabu sana...kweli kabisa huo ndo wanaona ulozi...kuna mbwembwe nyingi kwny michezo kuna waoendeshq kwa tairi moja kuna wanashuka kwa maputo etc etc
 
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
Acheni ushirikina football ni uwekezaji sio ucahawi 😅
 
Hivi acheni kujitoa akili...Simba bado inawakilisha nchi
Jana serikale yote ilikua pale...
[emoji24]
.
Screenshot_20230219-143500_Instagram%20Lite.jpg
 
Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa tunaenda Kukutana na Waarabu ambao ni Watekelezaji wazuri wa Watu wanaopenda kurudi Kinyumenyume vile.

Hiyo paragraph imenichekesha sana[emoji23][emoji23]
 
Hii timu nilifikiri inajitambua kutokana na kijihatua ilichofika CAF kwa misimu ya nyuma lakini kumbe hamna kitu. Bado ina watu wa hovyo sana. Hivi kweli majitu mazima yanakaa na kupanga wawashe moto katikati ya uwanja , basi liingie kinyume nyume. Yanga pia hivyo hivyo mara utakuta wanaingia uwanjani kupitia geti lisilo rasmi. Yaani timu kubwa zinafanya mambo kama timu za madaraja ya chini.
 
Back
Top Bottom