Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

kwa hili nakuunga mkono
 
Hivi geshi la polisi halina msemaji wa kuzungumzia hili tukio la kuhatarisha usalama barabarani tena lina ushahidi Tosha??!!"**
 
Visit Tanzania inaaibika kabisa asee!! Au ndio utarii wenyewe enyi wenye Nchi πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hivi acheni kujitoa akili...Simba bado inawakilisha nchi
Jana serikale yote ilikua pale...
😭
 
Mtani hapa mmetudhalilisha, uchawi upo lakini sio wa wazi kiasi like.. dah bado nakufungwa mkafungwaπŸ˜…
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
 
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
Watu wa ajabu sana...kweli kabisa huo ndo wanaona ulozi...kuna mbwembwe nyingi kwny michezo kuna waoendeshq kwa tairi moja kuna wanashuka kwa maputo etc etc
 
Sijakiri kama huo unaosema ni uchawi maana mswahili mpe tu kichwa cha habari, mengine atajaza tu mwenyewe. Basi siyo pikipiki kwamba ni ajabu kurudi nyuma.
Acheni ushirikina football ni uwekezaji sio ucahawi πŸ˜…
 
Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa tunaenda Kukutana na Waarabu ambao ni Watekelezaji wazuri wa Watu wanaopenda kurudi Kinyumenyume vile.

Hiyo paragraph imenichekesha sana[emoji23][emoji23]
 
Hii timu nilifikiri inajitambua kutokana na kijihatua ilichofika CAF kwa misimu ya nyuma lakini kumbe hamna kitu. Bado ina watu wa hovyo sana. Hivi kweli majitu mazima yanakaa na kupanga wawashe moto katikati ya uwanja , basi liingie kinyume nyume. Yanga pia hivyo hivyo mara utakuta wanaingia uwanjani kupitia geti lisilo rasmi. Yaani timu kubwa zinafanya mambo kama timu za madaraja ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…