Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

Shabiki uchwara wewe,ko basi huwa halirudi nyuma ???watu wengine akili sjui huwa ziko matakoni asee
 
Ni mbwembwe tu za mchezo, anyesema ni uchawi basi na yeye ni mchawi.
Kwani gia ya reverse imewekwa kwa ajiri gani ?
 
Nyie Makolo tunawajueni siku nyingi ulozi na nyie ni sawa na uji na mgonjwa๐Ÿ˜‚
 
Mpira ni kuwekeza, uchawi haufanyi kazi.
 
Waarabu wanapenda Sana michezo ya nyuma, kosa kubwa mlilofanya Simba ni kumpa ishara mwarab atumie mitandao yote, naye bila hiyana katumia kweli.
 
Juzi uliandika hivi:

Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
 
Mganga wenu mashart yake ya kisenge
 
Mnamtegea makalio waarabu nyie๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kha mna roho ngumu sana....
Ila mna mambo ya kiwaki nyiee...kwahyo waarabu walikula moshi wa lile basi? Maana lilikua kalio la basi sio kalio la mtu...au mtu ndo alikua anarudi kinyume nyume...
 
Reactions: Exy
Kwahiyo Thimba siku hizi ni kinyume na ..,
 
Ila mna mambo ya kiwaki nyiee...kwahyo waarabu walikula moshi wa lile basi? Maana lilikua kalio la basi sio kalio la mtu...au mtu ndo alikua anarudi kinyume nyume...
Ni watu wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ