MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Safari hii ni picha tuu,sio hela tena?Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao ...
Kwa kikosi kile cha Simba Huyu ataandia mpka vidole vichubuke.Hakuna chochote anachojua ni mropokaji tu huyu na ukute ashasahau alichoropokaCha umbea umeeudi. Utaandika sana uzi msimu huu. Umeacha kuleta uzi wako uliotoa ahadi utaleta ya jikoni kuhusu uongozi wako wa Simba mbovu yamekushinda unadandia mambo ya Yanga. Msimu huu kazi unayo
Kumbe Wapumbavu Waandamizi mliokuwa mnasubiria kwa hamu zote nije na hiyo Taarifa niliyowaahidi ( ikiwa ni sehemu yangu ya Mkakati wa Kisaikolojia wa Kuhamisha Akili za wana Yanga SC wengi waliokuwa Wamenipania hapa JamiiForums ) mpo na mlikuwa wengi mno wakiongozwa na Wewe? Pole na Poleni sana.Cha umbea umeeudi. Utaandika sana uzi msimu huu. Umeacha kuleta uzi wako uliotoa ahadi utaleta ya jikoni kuhusu uongozi wako wa Simba mbovu yamekushinda unadandia mambo ya Yanga. Msimu huu kazi unayo
Hata kama hiyo ndio ilikua nia yako aibadilishi matokeo ya kile kimoko cha fiston mayeleKumbe Wapumbavu Waandamizi mliokuwa mnasubiria kwa hamu zote nije na hiyo Taarifa niliyowaahidi ( ikiwa ni sehemu yangu ya Mkakati wa Kisaikolojia wa Kuhamisha Akili za wana Yanga SC wengi waliokuwa Wamenipania hapa JamiiForums ) mpo na mlikuwa wengi mno wakiongozwa na Wewe? Pole na Poleni sana.
Huyu ni Thomas KarumeMleta mada ni insane
anachunga mbuzi huko kwao bundaKwa kikosi kile cha Simba Huyu ataandia mpka vidole vichubuke.Hakuna chochote anachojua ni mropokaji tu huyu na ukute ashasahau alichoropoka
naskia kashazira huko.Na vile Mwamedi anavyopenda mapicha picha, it's a matter of time kabla nae hajaomba kupiga picha na Khalid Aucho, huku Barbara nae akitaka picha na Djigui Diarra!