Kwa kitendo cha kuwachukua ma handsome boys wetu walaaniwe Waarabu na Wazungu

Baada ya wao kufanya uvunjifu wa kupindukia wa haki za binadamu wakajenga uchumi na miji yao ndo wanatuletae mambo ya: Uhuru wa habari, haki ya kujieleza, wanafunzi wafanye ngono na waruhusiwe madarasani, ngono za jinsia moja, kukataza viboko mashuleni, n.k. Kimsingi haki inaenda na wajibu na kizazi ufundishwa na kuridhishwa, jambo ambalo si lelemama! Maendeleo hayaji kwa kuchekacheka lazima nidhamu na mipaka ya Uhuru iheshimiwe
 
kweli ngozi nyeusi imetumika kwa namna moja au nyingine kukuza uchumi wa America na Ulaya
 
Kwamba waliobakia wana nguvu za kike au hawana nguvu kabisa....

Noted.. Sina shaka shemeji ataipitia hii comment na kuchanganua akiwa chumba cha peke yake huku akiwa na maswali mengi kuliko majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statistics zinasemaje kuhusu kuongezeka kwa population kati ya hizo generation na hii generation? Ukipata jibu hapo utajua kua ni generation ipi ndio ilikua na hizo nguvu za kiume.
 
Unakosea shule zililetwa na hao hao wazungu. Zamani unavunja ungo unachukuliwa bila hata kujua mahali imelipwa lini. Enzi hizo waoaji waliangua mabikra wao na kuwafaidi sio kipindi hiki mtu anaolewa hata hana ladha.

Unaweza kula maharagwe yaliyo chacha kwa spidi Sawasawa na maharagwe fresh?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuzungiruka zunguruka kama hao tumejaa wakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…