Kwa kitendo cha kuwachukua ma handsome boys wetu walaaniwe Waarabu na Wazungu

Wapumbafu sana hawa watu weupe sasaivi ndo wanajua kuna haki za binadam wakat wao ndo wezi wa ralimali zetu bara la afrika lote utajili wao wqmeuiba kweti laiki leo wanajimwambafay na matamko kila mara yasiyo na mashiko ushoga huko huko kwenu mtuache.... Nina mengi ya kiandika ila ngoja niishie hapa nahis machoz kunidondoka[emoji22][emoji22]
During imperialist ilikuwa sawa tu walikuwa wanatafuta pakutuachia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya wao kufanya uvunjifu wa kupindukia wa haki za binadamu wakajenga uchumi na miji yao ndo wanatuletae mambo ya: Uhuru wa habari, haki ya kujieleza, wanafunzi wafanye ngono na waruhusiwe madarasani, ngono za jinsia moja, kukataza viboko mashuleni, n.k. Kimsingi haki inaenda na wajibu na kizazi ufundishwa na kuridhishwa, jambo ambalo si lelemama! Maendeleo hayaji kwa kuchekacheka lazima nidhamu na mipaka ya Uhuru iheshimiwe
We mshenzi sana! Huo uhuru wa kujieleza ndio uliokuweka hapa unajigamba mitandaoni na hiyo tekno yako chafu!

Haki za binadamu sio hisani za wazungu wala sio kitu kilichotengenezwa na wazungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbafu sana hawa watu weupe sasaivi ndo wanajua kuna haki za binadam wakat wao ndo wezi wa ralimali zetu bara la afrika lote utajili wao wqmeuiba kweti laiki leo wanajimwambafay na matamko kila mara yasiyo na mashiko ushoga huko huko kwenu mtuache.... Nina mengi ya kiandika ila ngoja niishie hapa nahis machoz kunidondoka[emoji22][emoji22]
Mbona huko Tanganyika kuna mashoga kibao wamejaa kila kona ya nchi!

Unaposema "wazungu wabaki na ushoga wao" unamaanisha nini!

Hawa mashoga ninaowaona humo Tanganyika ni wahamiaji haramu kutoka kwa mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii generation ndiyo iliindoka na nguvu za kiume Afrika
Dada yangu bado unaangaika na nguvu za kiume? Duh! Mbona wanaume lijali tupo wengi? Nikikubananisha kwenye 18 mbona utaomba poo! Acha kutunanga wanaume bwana! Uoni population ya watz inaongezeka mpaka 60mil. Hii ni kazi yetu mabaharia aturembeshi tuko kazini! Njooo PM tuyajenge!
 
Hao Nguvu za Kiume waliochukuliwa wangekuwepo sidhani kama tungekuwa tunasemwa mchana mchana na Viongozi...
 
Mbona huko Tanganyika kuna mashoga kibao wamejaa kila kona ya nchi!

Unaposema "wazungu wabaki na ushoga wao" unamaanisha nini!

Hawa mashoga ninaowaona humo Tanganyika ni wahamiaji haramu kutoka kwa mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sisi Waafrica tuna upumbafu mwingi sana kichwani, matatizo mengi tunayo yasababisha sisi lawama tunawatupia wazungu

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Kweli inashangaza!

Ndio maana pengine tunashindwa kutatua matatizo mengi kwa sababu ya ignorance tu!

Wanaishi na mashoga humo humo majumbani mwao lakini lawama anatupiwa mzungu!

Eti ushoga ni wa mzungu! Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya wao kufanya uvunjifu wa kupindukia wa haki za binadamu wakajenga uchumi na miji yao ndo wanatuletae mambo ya: Uhuru wa habari, haki ya kujieleza, wanafunzi wafanye ngono na waruhusiwe madarasani, ngono za jinsia moja, kukataza viboko mashuleni, n.k. Kimsingi haki inaenda na wajibu na kizazi ufundishwa na kuridhishwa, jambo ambalo si lelemama! Maendeleo hayaji kwa kuchekacheka lazima nidhamu na mipaka ya Uhuru iheshimiwe

Sasa unavyotaka ni vipi? tuwe hatuna uhuru wa habari na haki ya kujieleza au?
 
Back
Top Bottom