Kwa kitendo cha kuwachukua ma handsome boys wetu walaaniwe Waarabu na Wazungu

During imperialist ilikuwa sawa tu walikuwa wanatafuta pakutuachia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mshenzi sana! Huo uhuru wa kujieleza ndio uliokuweka hapa unajigamba mitandaoni na hiyo tekno yako chafu!

Haki za binadamu sio hisani za wazungu wala sio kitu kilichotengenezwa na wazungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huko Tanganyika kuna mashoga kibao wamejaa kila kona ya nchi!

Unaposema "wazungu wabaki na ushoga wao" unamaanisha nini!

Hawa mashoga ninaowaona humo Tanganyika ni wahamiaji haramu kutoka kwa mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii generation ndiyo iliindoka na nguvu za kiume Afrika
Dada yangu bado unaangaika na nguvu za kiume? Duh! Mbona wanaume lijali tupo wengi? Nikikubananisha kwenye 18 mbona utaomba poo! Acha kutunanga wanaume bwana! Uoni population ya watz inaongezeka mpaka 60mil. Hii ni kazi yetu mabaharia aturembeshi tuko kazini! Njooo PM tuyajenge!
 
Hao Nguvu za Kiume waliochukuliwa wangekuwepo sidhani kama tungekuwa tunasemwa mchana mchana na Viongozi...
 
Mbona huko Tanganyika kuna mashoga kibao wamejaa kila kona ya nchi!

Unaposema "wazungu wabaki na ushoga wao" unamaanisha nini!

Hawa mashoga ninaowaona humo Tanganyika ni wahamiaji haramu kutoka kwa mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sisi Waafrica tuna upumbafu mwingi sana kichwani, matatizo mengi tunayo yasababisha sisi lawama tunawatupia wazungu

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Unajua sisi Waafrica tuna upumbafu mwingi sana kichwani, matatizo mengi tunayo yasababisha sisi lawama tunawatupia wazungu

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Kweli inashangaza!

Ndio maana pengine tunashindwa kutatua matatizo mengi kwa sababu ya ignorance tu!

Wanaishi na mashoga humo humo majumbani mwao lakini lawama anatupiwa mzungu!

Eti ushoga ni wa mzungu! Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unavyotaka ni vipi? tuwe hatuna uhuru wa habari na haki ya kujieleza au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…