Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Salaam wakuu,
Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa.
Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha
Kucheat imekuwa kitu Cha kawaida sana,kupasiana maradhi imekuwa kitu Cha kawaida sana,hasa Kwa Sasa magonjwa ni mengi sanaa. Mara pangusa, mara HIV, gonorrhea, na mengine mengi utaponea wapi ukiwa na mwenza asiejua uaminifu?
Kupakazia mimba imekuwa kawaida wengi wanalea watotot sio wao ila hawajui (poleni wanaume)
Ni sawa binadamu kaumbiwa moyo wenye kutamani,sawa.basi mlinde angalau mwenzio.
Unaopoa changudoa unapiga bila Kinga unarudi nyumbani unampasia mkeo gonjwa ulookota huko.
Sawa una shida ya pesa labda au umependa kijana huko nje umechepuka tumia Kinga unakuja kumbwagia mwenzio ndani mimba sio yake huku unajua kabisa.
Ukiacha magonjwa au mimba Kuna vifo. Ukosefu wa uaminifu ni matokeo ya migogoro endelevu Kwa baadhi hupelekea kufanyiana ukatili.
TUWE NA UTU.KAMA HUWEZI KUJIZUIA CHUKUA TAHADHARI BASI.MLINDE MWENZA WAKO NA JITAHIDI KUFICHA UHUNI WAKO