Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale.

Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko.

Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up?

Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi?

NB: Angalieni na Mienendo ya watolewa mahari

Naomba kuwasilisha
 
Philo, nawasikitikia wazazi wako.

Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?

Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
 
Aaaah wapi ingekuwa hivo ndoa zisingekuwa zinavunjika

Tatizo linaanzia pale ambapo malaya kaolewa na simp au binti mwema kaolewa na womanizer ndo kazi ilipo hapo sasa
 
Philo, nawasikitikia wazazi wako.

Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?

Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Kwa hiyo wazazi wa kijana ndio hawatakiwi kupewa hiyo shukrani ya kumlea kijana wao mpaka akafikia umri wa kuoa au??

Nipe sababu za msingi ambazo hazina mfungamano wowote na dini ni kwanini tusiwe na groom price kama ambavyo tuna bride price?
 
Back
Top Bottom