Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Aaaah wapi ingekuwa hivo ndoa zisingekuwa zinavunjika

Tatizo linaanzia pale ambapo malaya kaolewa na simp au binti mwema kaolewa na womanizer ndo kazi ilipo hapo sasa
Wanasema kupanga kuchagua. Huwezi kunishawishi walikuwa hawajuani, tabia zipo wazi. Hazifichiki bwana, labda useme walichaguliwa wenza. Kuna kuteleza na kuna ambao wao ni kuanguka tu kila siku, hiyo ni tabia sasa. Utaijua tu
 
Back
Top Bottom