Huko Ulaya na Marekani wanaolewa bila mahari kwani kukoje!?Thamani ya mwanamke
Hivi ingekuwa mwanamke anolewa bila ya mahari ingekuwaje?
Ndugu wa mume wangepunguza gubu!Thamani ya mwanamke
Hivi ingekuwa mwanamke anolewa bila ya mahari ingekuwaje?
Kwa hiyo tufanye kama Ulaya?Huko Ulaya na Marekani wanaolewa bila mahari kwani kukoje!?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Philo, nawasikitikia wazazi wako.Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale.
Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko.
Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up?
Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi?
NB: Angalieni na Mienendo ya watolewa mahari
Naomba kuwasilisha
Tuongeze na yale ma LGBTQ yao si ndio anachomaanisha 🤣Kwa hiyo tufanye kama Ulaya?
Aaaah wapi ingekuwa hivo ndoa zisingekuwa zinavunjikaPhilo, nawasikitikia wazazi wako.
Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?
Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
kama kitita cha pesa ndo thamani ya mwanamke basi inabidi tujitafakari sanaThamani ya mwanamke
Hivi ingekuwa mwanamke anolewa bila ya mahari ingekuwaje?
Na kama ni hivo tafsiri yak mwenye thamani kubwa zaidi ni mwanaume kwa sababu thamani yake haipimwi kwa kitu chochote duniani hata pesa!!😎kama kitita cha pesa ndo thamani ya mwanamke basi inabidi tujitafakari sana
Kwa hiyo wazazi wa kijana ndio hawatakiwi kupewa hiyo shukrani ya kumlea kijana wao mpaka akafikia umri wa kuoa au??Philo, nawasikitikia wazazi wako.
Mahari ni shukrani tu kwa wazazi sababu unaenda kujenga ukoo wa watu huko, Mungu akikujalia uzao huko baadae utawaongezea watu wakwao idadi. Ni vibaya wakishukuru wazazi wako na watu wa kwenu kwa kutoa kidogo?
Tabia ya mtu haina uhusiano na mahari, kijana aliyeoza anapatana na binti wakufanana nae. Vile vile walio na tabia njema wanapatana na wenzao wenye tabia nzuri
Umuhimu wa mahari kibiblia unahusu mwanamke bikra tu kwa sababu ilikuwa inatolewa kama shukrani kwa wazazi wabinti kwa kumtunza binti yaokuna mtu aliwahi kuniambia mahari ina umuhimu wake kibibilia sasa sijui kama ni kweli au la
Na mabikra ndo siye...kwani mnawataka wa ainagaje?Umuhimu wa mahari kibiblia unahusu mwanamke bikra tu kwa sababu ilikuwa inatolewa kama shukrani kwa wazazi wabinti kwa kumtunza binti yao