Kwa kizazi hiki na tabia za sasa kuna umuhimu gani wa kupoteza fedha nyingi kutoa mahari?

Sijui point yako umeijenga kwa msingi ipi maana kijamii katika ancient society ambayo utaratibu wa kutoa mahari ulianza bikira ilikua kigezo muhimu sana na ikigundulika mwanamke sio bikira mchakato wa ndoa unaishia hapo hapo.

Ukija kwenye imani katika ukristo mahari ilikua inatolewa kwa mwanamke bikira tu ndio maana David alimlipia mahari Michal(ambae alikua bikira) lakini hakumlipia mahari Abigail(ambae hakua bikira).
 
Wanawake wakuoa wako wengi kuliko wanaume tatizo vijana mnataka ma slay queen ila wanawake waliotulia wapo wengi huko vijijini.
Sijui nini kifanyike kuwaamsha vijana hapa kwenye suala la kuchagua mke. Linapokuja suala la kuchagua mke vijana wa leo tunachagua kiholelaholela kama vile sio maisha yetu. It's ok the future is uncertainty, but that's not the reason for you to gamble on red flags.
 
Analeta masiahala huyu dada., shukrani gani inatolewa kwa ku-bargain bei
 
Unafikiri hawajui basi, wanajua vizuri kwamba kutokana na sifa na mienendo yao ya kisasa kuna namna hawastahili kutolewa mahari, ndio maana vigexo vinavyowakataa wanavipinga mfano kwenye body counts watakuja na usemi wao wa "past doesn't matter" sasa jiulize kama past doesn't matter kwanini huwa wanaficha idadi ya wanaume waliotembea nao. Hata kama ana list ya maex 10+ akiulizwa atasema mmoja au wawili, kwanini asiseme ukweli kashatemebea na wanaume 10.
 
Ndoa sio kwa kila Mtu tuliza kijambio hiko!kama mnawaonea gere wanaolipiwa mahari nyie toeni Bure.
 
Unalitolea mahari li MWANAMKE lililopigwa Mikunyubenga ya kutosha na bado limechomoa mimba zaidi 5!

Mwanaume anayemtolea mahari mwanamke asiyekuwa Bikira Hana akili timamu!.
Tatizo Umri Umri dogo.
 
Mahari hupoteza utu wa mwanamke,, wakati mwingine anaonekana/anafananishwa na ng'ombe/mbuzi na huyo mumewe!! 🤔🤔
 
Mahari hupoteza utu wa mwanamke,, wakati mwingine anaonekana/anafananishwa na ng'ombe/mbuzi na huyo mumewe!! 🤔🤔
Ni kweli kabisa lakini katika mazingira ambayo italazimika mahari kutolewa basi angalao tuzingatie vigezo na masherti.

Virginity, submissive, productive, mwanamke akikosa ivyo vigezo maana yake hana uhalali wa kutolewa mahari
 
Unalitolea mahari li MWANAMKE lililopigwa Mikunyubenga ya kutosha na bado limechomoa mimba zaidi 5!

Mwanaume anayemtolea mahari mwanamke asiyekuwa Bikira Hana akili timamu!.
Ko unaoa bureee?
 
Umejibu vizuri
 
Ko unaoa bureee?
Mwanamke asiyekuwa na Bikira hapaswi kutolewa mahari,yaani wanaume wengine wakugeuze kopo la kukojolea halafu Mimi ndiye nikutolee mahari!

Nitatoa mahari Kwa mwanamke mwenye Bikira tu!,nikikuta umepigwa na Mimi nitapiga Kisha nasepa kama walivyosepa wengine!
 
🤣Humu tu humu tu
 
Huo ni utamaduni wa Mwafrika linapofika kwenye suala la ndoa, ukiuondoa maana yake unafuta huo utamaduni ili sasa ubaki na utamaduni wa mzungu, utambulisho wa kiafrika unauondoa kama ilivyo kwenye mavazi, lugha, style ya maisha na mambo mengine ya kiutamaduni.

Kumbuka inapofika suala la kuoa utani wa kikabila na koo mbali mbali huwa unakuwepo ili kulisherehesha jambo lenyewe, na miaka ya nyuma ili furaha ya jambo lenyewe itimie ililazimu binti awe bikira, lakini sio kwamba waliokuwa sio bikra mahar haikutolewa la hasha, hapo ilikuwa inategemeana na muoaj kama ameridhika ngoma inaendelea sema ilikuwa fedheha kwa familia ya Binti.

Mahari ilikuwa inapima uwezo wa huyu mwanaume kama anaweza kumtunza mke na familia husika, lakini Mahari ilikuwa inatoa uthibitisho wa msemo kwamba anayeolewa au kuoa sharti anaiacha familia yake(alikozaliwa) na kwenda kuanzisha familia, na inajulikana tangu zamani kutengeneza familia sio jambo jepesi inahitaji uvumilivu, hivyo wazazi wa mwanamke wanamwambia binti yao tumepokea mahari sasa kuja huku mpaka kuwe na jambo muhimu ukapambane huko.

Mahari inampa mamlaka mwanaume ambaye ndio kichwa cha nyumba kummiliki mwanamke wake na kuwa na uhuru naye, kuzaa watoto anawataka yeye bila kuingiliwa na familia ya mwanamke, na hii ilikuwa haimaanishi kuwa eti mwanamke ameuzwa hapana, manyanyaso na mateso yakiwemo mke ana nafasi ya kusema kwa wazee.

Madhara ya kuondoa mahari.

1. utakuwa umeondoa huo utamaduni wa kiafrika kama nilivyosema hapo juu

2. Utakuwa umeondoa uhuru wa mwanaume kummiliki huyo mwanamke na hapo ili ndoa iende itahitajika utashi wa mwanamke mwenyewe, lakini mwanaume ataingiliwa katika maamuzi kutoka kwa upande wa mwanamke

3. Ile heshima ya undugu kutoka upande wa mwanamke haitakuwepo kwa sababu utakuwa umepewa bure,

4. Utii wa mwanamke kwa mwanaume utaondolewa, maana mahari inamfanya mwanamke awe submissive kwa mume. Haya malalamiko ya haniheshimu, hanisikilizi yataongezeka maradufu kuliko ilivyosasa

5. Hitaji la mwanaume kuoa litapungua, wanaume wataogopa zaidi kuoa maana ni kama unaoa bomu, maana hata mkitofautiana kusikilizwa tu na upande wa mwanamke itakuwa mtihani maana wataona kama wamekubeba sana na wewe ndio msumbufu unamsumbua ndugu yao.

6. Mwisho litakuwa anguko la mwanaume, maana mahari pamoja na kwamba inatolewa na mwanaume kwenda kwa mwanamke lakini anayefaidika nayo kwa asilimia 90 ni mwanaume huyo huyo.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…