Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka Mimi Jobless pro max tu 🤓🤓Kuna ukweli flani. Kwa mfano Shadow7 Vincenzo Jr Intelligent businessman Wakuperuzi Kichwa Kichafu et al.. Sijui ni walinzi au shift ya usiku.
Nawaonaga usiku tu kwenye uzi wao, mchana hawana bando kwakua wako makwao. No wifi. No Computers.
Unastahili maua yako mkuuHahaha uko sahihi kabisa, sema intelli Nime dumu kwenye ulinzi na vikosi vingi,
wenzagu wame staafu au kukimbia, Mimi Niko naongoza makuruti wapya🤓😄
mpe ile chenja yaSisi tupo majukwaa yote isipokua usiku tunakua mahususi kwaajili ya lindo.
Cc Raine Col Intelligent businessman Kichwa Kichafu
Chenja mastampe ile chenja ya
usiku hatulali siisi usiku hatulali, 🎼🎼🎼
usiku hatulali mama usiku hatulaliiiii
huwezi amini haya mambo ni tangu 2014 ila kuna grupu la Op na Coy halipoi ndo linanikumbusha haya mambo 🤣 🤣Chenja masta
2014 unapaona mbali?? Ila watoto wa siku hizi... hapo ni juzi tuhuwezi amini haya mambo ni tangu 2014 ila kuna grupu la Op na Coy halipoi ndo linanikumbusha haya mambo 🤣 🤣
Ndugu Yangu Umeanza Kupiga Zile Mambo Za Sheikh Yahya.😂😂😂Kuna ukweli flani. Kwa mfano Shadow7 Vincenzo Jr Intelligent businessman Wakuperuzi Kichwa Kichafu et al.. Sijui ni walinzi au shift ya usiku.
Nawaonaga usiku tu kwenye uzi wao, mchana hawana bando kwakua wako makwao. No wifi. No Computers.
Hatimaye Umefikiwa.Unamaanisha kishkwambi?
[emoji419][emoji419]nakaziaUkifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.
Wanaochangia weekends ni wale wanatumia simu zao binafsi au Ipad.
Ni mTazamo tu.
Mtat
..... cha walimu.Unamaanisha kishkwambi?
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.
Kwa uzoefu, weekend watu wanakuwa kwenye majukumu ya kijamii na kula bata. Sio rahisi kuanza kuhangaika na chit chat ama JF garage.Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.