Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.

Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.

Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.

Wanaochangia weekends ni wale wanatumia simu zao binafsi au Ipad.

Ni mTazamo tu.

Mtat
[emoji419][emoji419]nakazia
 
Namm nilifanya utafiti kama huu miaka kadhaa iliyopita namm nikathibitisha pasipo kuacha shaka watu wengi wanaingia humu kwa kutumia nyenzo za mwajili mf. umeme, kompyuta, simu, "indaneti" kama alivyosema mtoa mada ila sio kesi acha maisha yaende. hoja ya eti wikendi wanaenda shambani ni km hoja ya yanga na mamelodi tu
 
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.

Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.

Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.

Na kwa nini isiwe kwamba wakati wa weekend watu hujikita kwenye kufanya shughuli zao binafsi, hivyo kukosa muda wa kulog in hapa...
 
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.

Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.

Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.

Wanaochangia weekends ni wale wanatumia simu zao binafsi au Ipad.

Ni mTazamo tu.

Mtat
Kwa uzoefu, weekend watu wanakuwa kwenye majukumu ya kijamii na kula bata. Sio rahisi kuanza kuhangaika na chit chat ama JF garage.
 
Back
Top Bottom