Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
True trueWanazuga ila ndio ukweli .
Kazi hawafanyi kazi kupiga umbea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True trueWanazuga ila ndio ukweli .
Kazi hawafanyi kazi kupiga umbea tu.
Iwekwe nini? Kila kitu??Chips kavu za 1500 na coke ya baridi.
Kila kitu bro.Iwekwe nini? Kila kitu??
Dah! kaka 😁😂😂😂😁😁Kuna ukweli flani. Kwa mfano Shadow7 Vincenzo Jr Intelligent businessman Wakuperuzi Kichwa Kichafu et al.. Sijui ni walinzi au shift ya usiku.
Nawaonaga usiku tu kwenye uzi wao, mchana hawana bando kwakua wako makwao. No wifi. No Computers.
Usipokuwa makini unaweza kuta mchepuko wa JF ni mkeo wa nyumbani🤣🤣Weekend watu wanashinda nyumbani na wapenzi wao. Huku kila mmoja anahakikisha mwenzake hajui kama anatumia JF.
😂 tupo sana mkuuKuna ukweli flani. Kwa mfano Shadow7 Vincenzo Jr Intelligent businessman Wakuperuzi Kichwa Kichafu et al.. Sijui ni walinzi au shift ya usiku.
Nawaonaga usiku tu kwenye uzi wao, mchana hawana bando kwakua wako makwao. No wifi. No Computers.
Mida yenu saa 12 ndio mnaingia kazini.😂 tupo sana mkuu
Vincenzo Jr ngoja akufafanulie tunapokuagaMida yenu saa 12 ndio mnaingia kazini.
Au kuna majukwaa yana access maharumu mi sipo nyie ndio mnashinda uko.Vincenzo Jr ngoja akufafanulie tunapokuaga
Sisi tupo majukwaa yote isipokua usiku tunakua mahususi kwaajili ya lindo.Au kuna majukwaa yana access maharumu mi sipo nyie ndio mnashinda uko.
Mchana usiku sisi tunafanya kazi saa 24 sisi ni makamanda wa TISS😂😁😁Vincenzo Jr ngoja akufafanulie tunapokuaga
Maharumu❎ maalum✅Au kuna majukwaa yana access maharumu mi sipo nyie ndio mnashinda uko.
Uwa vinanichanganya hadi nikagoogle bado nimekosea..Maharumu❎ maalum✅
😂😂🤫Mchana usiku sisi tunafanya kazi saa 24 sisi ni makamanda wa TISS😂😁😁
Positive mindset.Uwa vinanichanganya hadi nikagoogle bado nimekosea..
View attachment 2940194
Shukrani. Umerekebisha bila majungu.
hahahKuna ukweli flani. Kwa mfano Shadow7 Vincenzo Jr Intelligent businessman Wakuperuzi Kichwa Kichafu et al.. Sijui ni walinzi au shift ya usiku.
Nawaonaga usiku tu kwenye uzi wao, mchana hawana bando kwakua wako makwao. No wifi. No Computers.
Hahaha uko sahihi kabisa, sema intelli Nime dumu kwenye ulinzi na vikosi vingi,Sisi tupo majukwaa yote isipokua usiku tunakua mahususi kwaajili ya lindo.
Cc Raine Col Intelligent businessman Kichwa Kichafu