Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

Kwa mkapa hatoki mtu alisikika kolo mmoja akikimbia
GjFPPmnW4AAbvIu.jpg
 
Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao.

πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜‚
Na mna bahati Mtani.

Lait mngethubutu tu kuwashusha kwenye ile BM wale wataalam wenu wakiwa na zile mbuzi zao basi nao tungewafotoa vile vile. Teh teh. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbumbumbu mlikimbia mnatetengeza agenda ya Makomando
 
Makomando walizuia only kuingia na mbuzi tu lkn wachezaji na technical bench waliruhusiwa
 
Back
Top Bottom