Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa CHADEMA?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?

Na eti kwa kutokuvaa t-shirt za free Tundu Lisu ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa chadema?

Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?

Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteza Dira na muelekeo. Wanajiendea na kujikokota utafikiri kuku aliyekatwa kichwa
 
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?

Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?

Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Mkuu unapambana sana kuhamisha goli😀😀. Kumbuka, Lema ndiye aliyekuwa anahesabu kura za Lissu vs Mbowe
 
Gentleman,
there are twins constants in politics which are within the hearts and minds of every politicians you know,
and thus are interests and betrayal.

you must know this formula in politics :NoGodNo:
 
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?

Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?

Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nonsensical crap 💩
 
Back
Top Bottom