ikiwa una uelewa mdogo dhidi ya hoja mahususi mezani, sema usaidiwe bila kuendekeza mihemko jukwaani.Ila we jamaa huwa ni pimbi aseee
Na mbaya zaidi unajikutaga boooooonge la think tank wa ccm!
Sasa hii uzi gani hii?
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?
Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?π
Mungu Ibariki Tanzania
ndugu mdau wa mapicha picha useless,
nawe umetibua minywele kama mwendawazimu au wewe ni msaliti una ngoja kufukuzwa uanachadema kwa kudinda kutibua minywele kama mwendawazimu?
Akili za CHADEMA ni kama za Nyumbu tueti mwanachadema asipotibua minywele kama mwendawazimu ni msaliti
Mkuu unapambana sana kuhamisha goliππ. Kumbuka, Lema ndiye aliyekuwa anahesabu kura za Lissu vs MboweNa kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?
Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Mkuu unapambana sana kuhamisha goliππ. Kumbuka, Lema ndiye aliyekuwa anahesabu kura za Lissu vs Mbowe
Nonsensical crap π©Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?
Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa chamani ikiwa ni pamoja na Godbless Lema?π
Mungu Ibariki Tanzania
Nilishangaa sana eti ccm walihuzunika mbowe kushindwa kwenye uchaguzi dhidi ya LissuMkuu unapambana sana kuhamisha goliππ. Kumbuka, Lema ndiye aliyekuwa anahesabu kura za Lissu vs Mbowe
CCM walifurahia sana ushindi wa Lissu. Walijifanya kuhuzunika ili Mbowe azidi kuzikwa ndani ya Chadema.Nilishangaa sana eti ccm walihuzunika mbowe kushindwa kwenye uchaguzi dhidi ya Lissu