Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna mtu yoyote amempangia mtu cha kusema?. Kushauri ndio kupangia?.Kwanini unawapangia cha kusema, kama wakanushe au wakiri,
si wao wenyewe wana ufahamu? Asione tissue ni mazwazwa.hata kimya ni jibu.
Jee wajua wakati wa Dr. Ulimboka Jack Zoka akiwa acting DGIS akizungumza na media.
Silence is the admission of guilt!.
P