TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu Asante kwa maelezo ya kina. Hata hivyo, hivi kusema Aikael hajafikisha miaka 68 hivyo anatakiwa Agombee hiyo ni hoja kweli?...wanaoona kuwa hafai waache matusi, washindane nae kwenye hoja
Mkuu mbona unapotosha? Mbowe amesema hatagombea tena. Ili kukazia hiyo nia ya kutogombea tena ndio alisema kuwa wakati huo atakuwa na miaka 68. Hakusema kuwa anagombea kwa sababu hajafikisha miaka 68. Kwa Katiba yao ilivyo, hata kama atashindwa safari hii ana haki ya kugombea tena 2030. Kwa hii ahadi yake ni kuwa hatagombea tena hata akishindwa.Mkuu Asante kwa maelezo ya kina. Hata hivyo, hivi kusema Aikael hajafikisha miaka 68 hivyo anatakiwa Agombee hiyo ni hoja kweli?
Eti uchaguzi, you've got to be kidding! Bila shaka ulishuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu uliosimamiwa na TAMISENI, je ule unauita uchaguzi? TAMISENI walihakikisha wagombea wao wanashinda kwa asilimia 99%!Ni imani yako. Sasa tusubiri maamuzi ya wapiga kura.
Amandla...
Munamfanya Lissu kama vile mtakatiiiiifu!!! na wengine mashetani tu!!!Ndivyo mlivyopanga, ndivyo mnavyopanga na ndivyo CCM inavyotaka. Mimi naamini wako wana Chadema tena wengi ambao hawapati maslahi yoyote ndani ya Chadema.
Mbowe kama angewasikiliza hao wana mageuzi wa kweli na si wale wenye maslahi na uwepo wake wawe wana Chadema, CCM au vyama maslahi, angeng'atuka abaki mshauri tu.
Mbowe amekuwa kama mfungwa na nachelea kusema sidhani kama anayo mawazo huru tena. Mbowe wa miaka ya nyuma sidhani kama ni huyu aliyetangaza kutetea kiti.
Na je Mwenyekiti kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20 kunamfanya kama vile yeye ni nani? Nakutakia usiku mwema CamcorowamodoMunamfanya Lissu kama vile mtakatiiiiifu!!! na wengine mashetani tu!!!
Uchaguzi wa Chadema utasimamiwa na TAMISEMI? Au unataka kutuambia kuwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema utauona wa haki tuu kama Lissu atashinda? Hiyo si itakuwa bad faith?Eti uchaguzi, you've got to be kidding! Bila shaka ulishuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu uliosimamiwa na TAMISENI, je ule unauita uchaguzi? TAMISENI walihakikisha wagombea wao wanashinda kwa asilimia 99%!
Ndo nishahamia mkuuBaki CCM ni uamuzi wako. Maana CCM mwenyekiti anachaguliwa Kwa kura ya ndio au hapana.
Hii hoja iko sawaKuna tatizo gani kusubiri sanduku la kura liamue? Wagombea 3 wamechukua fomu sasa si tusubiri nani ataibuka kidedea? Au mlitaka Mbowe ajitoe? Hoja ni nini hasa hapa?? Uchaguzi usifanyike au kuwe na mgombea mmoja tuu TAL???
Hakuna tofauti mkuu.. ya nini Maigizo?Nimecheka kinoma, eti bora uwe ccm. Yaani uache chama unachoweza kuwa huru, ukahamie kwenye chama cha machawa na nidhamu za woga?!
Umenidownplay, ila hilo naliacha kwanza!Huu uchaguzi ndani ya Chadema kama utafanikiwa kama ninavyotumainia, kwa mara ya kwanza tutapata fursa ya kushuhudia demokrasia ya kweli kazini.
Sijakudownplay (your words sic!) ila kwa bahati wewe unayo choice...Chadema ikikuzingua, CCM inakusubiri kwa mikono miwili. Wengine hatuna hiyo choice, hakuna namna naweza nikahamia chama hicho...not over my dead body!Umenidownplay, ila hilo naliacha kwanza!
Wapambe maslahi ni wa kuogopwa kama ukimwi.Unatumainia nini kwenye huu uchaguzi?
Wapi nimesema TAMISENI ndio itasimamia uchaguzi wa Chadema? This is too low coming from you!Uchaguzi wa Chadema utasimamiwa na TAMISEMI?
Wapambe wa mwenyekeiti ndio hao hao watakaosimamia uchaguzi labda mambo yabadilike.Au unataka kutuambia kuwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema utauona wa haki tuu kama Lissu atashinda?
I have no idea what you are talking about sir!Hiyo si itakuwa bad faith?
Mag3, Unaanzaje kuingiza TAMISEMI kwenye mjadala unaohusu uchaguzi wa CHADEMA unless kama kwa njia moja au nyingine una insinuate kuwa TAMISEMI watahusika na huo uchaguzi. Mimi naona katika juhudi zako za kum legitimise Mbowe unatumia mifano ambayo sio sahihi. Kwa nini haukusema Mbowe ana behave kama dictator alipo ram through appointment ya Lissu kuwa Makamu Mwenyekiti? Kuanza kusema leo ( kama alivyosema Lissu) kuwa Mbowe atahujumu ( in fact, Lissu ame hint kuwa tayari ameanza taratibu za kujaza kura za bandia, kuiba mabox ya kura kama vile TAMISEMI walivyofanya) uchaguzi ni mpango wa kuondoa uwezekano wa kushindwa kwa Lissu. Hatua inayofuata ni kusema hamna imani na sekretariat. Kwa kweli huu mchezo mnaocheza hauna tija kwa Chadema.Eti uchaguzi, you've got to be kidding! Bila shaka ulishuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu uliosimamiwa na TAMISENI, je ule unauita uchaguzi? TAMISENI walihakikisha wagombea wao wanashinda kwa asilimia 99%!
Kasome tena ulicho andika. Sasa kama hamna imani na sekretariat ambayo siku zote imekuwa inasimamia chaguzi kwa nini mnagombea? Imani yenu ni transactional? Kuwa inaonekana haiko biased pale tu matokeo ya uchaguzi yanapo wafurahisha? Badala ya kutoa unfounded allegations kwa nini msikae mka propose namna ya ku secure uchaguzi ili uwe transparent na fair?Wapi nimesema TAMISENI ndio itasimamia uchaguzi wa Chadema? This is too low coming from you!
Wapambe wa mwenyekeiti ndio hao hao watakaosimamia uchaguzi labda mambo yabadilike.
I have no idea what you are talking about sir!
Noma sana!Chama kinachotoa fomu kwa kila mtu hukitaki ila unataka kinachogawa fomu 1 tu!
Utakuwa umelogwa
Hawa watu walitegemea wakim bully kwa false allegations hatachukua fomu. Sasa hiyo imebuma wameanza kusambaza rumors kuwa ana mpango wa kuiba maboksi ya kura na kujaza kura feki ili ashinde. Wao wanachotaka ni coronation ya mtu wao, sio uchaguzi wa ushindani. Hawa wako tayari CDM isambaratike kama mtu wao hatashinda.Kuna tatizo gani kusubiri sanduku la kura liamue? Wagombea 3 wamechukua fomu sasa si tusubiri nani ataibuka kidedea? Au mlitaka Mbowe ajitoe? Hoja ni nini hasa hapa?? Uchaguzi usifanyike au kuwe na mgombea mmoja tuu TAL???