Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au wanakosa ufundi.
sisi miaka tunakua tulifundishwa jandoni kuwa huko chini ukipajulia utajiri nje njr upate tu watu sahihi na uwe na nguvu za kutosha. unapashughulikia hasa mpaka unakuja faidika nako. wengi kwa sasa hawajui namna ya kupafanyia kazi huko chini. sisi wa zamani tunajua ..... unapachapa hasa.
kama unachimba dhahabu ,almasi,tanzanite. au umeamua wewe ulime kilimo cha kisasa lazima chini pakulipe. chini kila kitu kinapatikana huko wengi hawajui tu. ndo maana miaka ile kulikuwa na lile shairi la kama unataka mali. utaipata shambani.