GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninataka Tanzania iwe kama Rwanda tu.Una jiko uko?
Yote haya yapo Burundi na siyo Rwanda.zero brain wewe, shujaa wa uchumi mita kadhaa kutoka mji wa kigali nyumba kibao za matope na barabara za vumbi, ujuzi gani rwanda walionao wakashindwa kulinda amani ya rwanda?
Tanzania inafaidika kwa Akili kubwa za Wanyarwanda na bila shaka mtafaidika mno na kuondokana na 'Uswahili Uswahili' wenu unaowachelewesha Kimaendeleo mpaka Rwanda inawazidi tu sasa.tanzania ndiyo inayoisaidia rwanda kama kama tunapowasaidia majirani wengine ingawaje wanajawa na viburi
Nisipoisifia Rwanda tu niisifie nchi gani?Acha ujnga wa kusifia kwenu. Rubbish post
Huyo sio ziro huyo Ni sifuri kabisa naona akihama kwa shemeji yake atakuwa na akili.. Siro huyu mwanasiasa aliyesaidia kuharibu uchaguzi au yupi hao wote lazma waondolewe muda Ni mwalimuzero brain wewe, shujaa wa uchumi mita kadhaa kutoka mji wa kigali nyumba kibao za matope na barabara za vumbi, ujuzi gani rwanda walionao wakashindwa kulinda amani ya rwanda?
Tanzania inaihitaji Rwanda ( tena hasa kwa Akili zao kubwa walizobarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu ) kuliko ambavyo Rwanda inaihitaji Tanzania yako ( yenu ) sawa?Hao Rwanda wamepata wapi huo weledi?
Je ina maana watanzania hawana ubunifu wao wenyewe mpaka wategemee akili za jirani yao?
Tatizo siyo hayo wanayotaka kuambukizwa na Rwanda, ila ni uvivu wa kufikiri, huyo PGI ndiye mvivu wa kufikiri na kuja na ubunifu, hao Rwanda hawakuzaliwa na huo uzoefu, ila wameishughulisha akili yao wakaja na hayo tunayotaka ku copy na ku paste.
Kwanini nasi tusitumie watu wetu wa ndani tukafanya mambo ambayo Rwanda watajifunza toka kwetu?