Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la Rwanda sasa ni Imani yangu Jeshi la Polisi la Tanzania litaimarika zaidi na kubadilika kiuweledi

Unaonekana unaipenda Rwanda sana. Ni ule udikteta wa paulo ndiyo unakuvutia au kitu gani?
Hapa nimeunganisha dot nyingine kuelekea proof ya uraia wa yule mtu.
Waimbaje wake wanajitokeza kuthibitisha hayo.
 
Mwanzoni kipindi fulani hivi nilikuwa nakuonaga kama akili kubwa ila kumbe bonge la zoba [emoji16][emoji16]
Ungekuwa Mnyarwanda usingekuwa 'brainless' hivi hata hivyo kwakuwa umetokea Taifa la Waswahili wenye Wivu na Chuki dhidi ya Taifa Barikiwa la Rwanda wala sikushangai.
 
RWANDA NCHI MWIZI WA MALI ZA DRC HAKUNA LA KUIGA HUKO,ZAIDI YA LABDA AIGE UKANDAMIZAJI WA RAIA,NA INTELLEGENT YA KUUA WATU KWA HISIA.....I HATE RWANDA FOR ITS THEFT.
Mkuu usiihate Rwanda yote, kuna madem wakali sana kule.
Rwanda kuna paulo,, huyu ndie mtu ovyo kabisa, mchukie huyu.
 
RWANDA NCHI MWIZI WA MALI ZA DRC HAKUNA LA KUIGA HUKO,ZAIDI YA LABDA AIGE UKANDAMIZAJI WA RAIA,NA INTELLEGENT YA KUUA WATU KWA HISIA.....I HATE RWANDA FOR ITS THEFT.
Intelligence bora Afrika iko Rwanda tu.
 
Unaonekana unaipenda Rwanda sana. Ni ule udikteta wa paulo ndiyo unakuvutia au kitu gani?
Hapa nimeunganisha dot nyingine kuelekea proof ya uraia wa yule mtu.
Waimbaje wake wanajitokeza kuthibitisha hayo.
Nazipenda nchi za Rwanda na Israeli tu.
 
Mkuu usiihate Rwanda yote, kuna madem wakali sana kule.
Rwanda kuna paulo,, huyu ndie mtu ovyo kabisa, mchukie huyu.
Iwe mwanzo na mwisho Kumsema vibaya Rais wa Rwanda Paul Kagame sawa? Kuwa makini sana na kaa mbali pia na Rwanda.

Nimemaliza.
 
nimecheka sana ,democrasia atajifunzia kwetu eti eeee

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…