Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la Rwanda sasa ni Imani yangu Jeshi la Polisi la Tanzania litaimarika zaidi na kubadilika kiuweledi


Mngekua na akili mngechinjana ?? Mngekua na akili nyie nchi yenu ingekua tajiri?? Mngekua na akili msingekua na ukabila

Actually ukabila n primitive mode of life na ina exist kwa primitive species!!
So rwanda is such brainless
 
Tanzania inaihitaji Rwanda ( tena hasa kwa Akili zao kubwa walizobarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu ) kuliko ambavyo Rwanda inaihitaji Tanzania yako ( yenu ) sawa?
Hakuna cha kujifunza huko zaidi ya udikteta
 
Ungekuwa Mnyarwanda usingekuwa 'brainless' hivi hata hivyo kwakuwa umetokea Taifa la Waswahili wenye Wivu na Chuki dhidi ya Taifa Barikiwa la Rwanda wala sikushangai.
Zaidi ya kupora congo kipi cha kutegemea
 
GENTAMYCINE, nime ku quote purposely, ili tuongee ukweli.
Mshikaji,
Nahisi wewe ndio una ongoza kwa ban hapa JF kutokana na tabia yako mbaya ya majibu yasiyo mazuri, sitaki kwenda bahari kina (deep sea)

Ila all in all, huaminiki kwa sababu umekuwa unajiita Mkurya, mara Mnyarwanda.

Kwa taarifa yako, mashushu wa Kinyarwanda wamejaa nchini na hawakuoni wewe Kama valuable asset na reliable source of information.

Wewe ni mpiga zumari unayeangaliwa kwa karibu na mashirika yote ya kijasusi, kwetu na hapo ng'ambo ya Rusumo, ila hauko potential, ila unaangaliwa Kama threat item.

Huu mcharazo wako JF haukupi hata kumi zaidi ya kukuhatarisha
 
Huyu jamaa mbona mjinga wa kweli2! Kwa sifa hizo si wangekuwa na uchumi angalau hata 10 bora.
 
Triple like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…