GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho?
Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida?
Tafadhali GENTAMYCINE nikiamka Kesho naomba TFF, Wizara na Serikali mumfukuze haraka Kocha Mkuu Mteule wa Taifa Stars sawa?