Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipochoka ni pale hadi Feitoto ambaye ana muda hajaoneksna uwanjani.Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho...
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho...
Na nakuahidi GENTAMYCINE nitashinda tena hata mwaka huu na miaka mingine ijayo na Mimi kutokushinda labda itokee Nimekufa tu sawa?Eti huyu ndio mwanasports bora wa jukwaa, jf siku hizi kama mapapai tu.
Halafu tukuajiri wewe!?Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho?
Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida?
Tafadhali GENTAMYCINE nikiamka Kesho naomba TFF, Wizara na Serikali mumfukuze haraka Kocha Mkuu Mteule wa Taifa Stars sawa?
Labda wamegoma ?Huyu Kocha sijui namna gani, yaani amejilipua Taifa Stars bila Kapombe na Tshabalala, lakini cha kushangaza anamjumuisha Feisal ambayo hana Fitness
We uko mashindano ya losers kwa mujibu wa manara umekuwa wa maana au taka takaclub bingwa yenyewe upo na vipers na horoya alafu unataka uonekane wa maana kweli
👇club bingwa yenyewe upo na vipers na horoya alafu unataka uonekane wa maana kweli
Huna Akili.kwani lazima Kila siku waitwe hao hao?
Alijipigia kura, ana ID 1000 sijui kama unalitambuwa hilo?Rikiboy kura zilipigwa