GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
club bingwa yenyewe upo na vipers na horoya alafu unataka uonekane wa maana kweli
Mmh ,..tunakusikilizaHuyu Kocha sijui namna gani, yaani amejilipua Taifa Stars bila Kapombe na Tshabalala, lakini cha kushangaza anamjumuisha Feisal ambayo hana Fitness
lakini cha kushangaza anamjumuisha Feisal ambayo hana Fitness
Kakolanya yupo kwenye timu ya Simba na anafanya mazoezi kujiweka utayari hata kama yupo benchi, Sasa Feisal anafanya mazoezi kwenye timu ipi?Kakolanya kacheza mechi ngapi???
Makipa wangapi wanaofanya mazoezi kwann kaonekana yy pekeake issue sio kufanya mazoezi hata Fei anafanya, na sio wao peke yaoKakolanya yupo kwenye timu ya Simba na anafanya mazoezi kujiweka utayari hata kama yupo benchi, Sasa Feisal anafanya mazoezi kwenye timu ipi?
Kuna watu watapinga
kwahiyo mkeo asipoalikwa kwenye kutchen party ya harusi ya mtoto wa mjomba wako utaiombea hiyo harusi isambaratike?Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho...
Rikiboy kura zilipigwaEti huyu ndio mwanasports bora wa jukwaa, jf siku hizi kama mapapai tu.
Point of correction, wa Yanga Saba sio SitaHalafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida?
Hivi unafikiri wajinga. TFF wanajua yote mnayoyafanya nyuma ya ushindi wenu kwani ni washiriki wenza. Angalia goli la Viper lilivyofunikwa. Pamoja na kushiriki club bingwa wajuzi kuna vingi wanaangalia katika kuteua national team.Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho...