Kwa kutowaita Kapombe na Tshabalala Taifa Stars na kuita Wengi wa Yanga SC naiombea Laana ifungwe

Ni wakati wa kuachana na wazee timu ya Taifa Hai unaowataja kusema ukweli tayari uwezo wao wakucheza umeshapungua Hongera kwa Kocha kuwaacha hata Mimi ningewaacha
 
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho...
Nilipochoka ni pale hadi Feitoto ambaye ana muda hajaoneksna uwanjani.

Ingawa hili la kuitwa kwa Feitoto Simba wengi wamelishangilia sana hadi mtaani kwetu mashabiki wa Simba walikua wakitoa ofa za bia kwa wanywaji waliowakuta Bar.
 
Eti huyu ndio mwanasports bora wa jukwaa, jf siku hizi kama mapapai tu.
Na nakuahidi GENTAMYCINE nitashinda tena hata mwaka huu na miaka mingine ijayo na Mimi kutokushinda labda itokee Nimekufa tu sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Idiot.
 
Halafu tukuajiri wewe!?
 
Huyu Kocha sijui namna gani, yaani amejilipua Taifa Stars bila Kapombe na Tshabalala, lakini cha kushangaza anamjumuisha Feisal ambayo hana Fitness
Labda wamegoma ?
 
Mi naona ni bora wapumzike tu,kwanza huko hawalipwi
 
Kwa Timu yetu ya Tanzania bado hatuna quality players,hata aje Kapombe au Tshabalala ni yale yale tu,kwani hawajawahi kuwepo?
 
Yan huyu jamaa hoja zake bhana zmejaaga utimu na uduanzi tu ndomana mim #Captain Joe (Zee la Kazi) huwa nasema JF napo kn wagonjwa wa akili sas Hao Paka Fc wana timu gan ya kuita wachezaj zaid ya6 em wataje..Asidhan ana wachezaj wa ndan wanaofany vzr akasahau amebebwa na Vumbi la Kongo mechi zake zote📌
 
Huyo shabalala ni bora hajaitwa. Analishaga sana akiwa timu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…