Kwa kutumia hoja CCM ni dhaifu Sana, hata mtoto wa kidato cha pili aliyesoma Civics anawagalagaza

Sawa sababu mmeruhusu ndoa za jinsia moja.
chama gani kimeruhusu? CHADEMA wameshika dola? Au kwenye katiba ya CHADEMA au ACT wazalendo au TLP Kuna mahali wamesemaje wataruhusu ushoga? Na hawa mashoga waliopo sasa mitaani nyie mnaopinga mmechukua hatua gani?
 
Umesahau ule mtiti mpaka mkaomba msaada kwa Pompeo? Mbona kuna mbunge alisema mnajua waliokuwa wabunge wenu wanasagana na hamjawachukulia hatua?
 
Maneno ya vijiweni, leta hoja nikujibu, sio mipasho ya saloon na vijiwe vya kahawa
 
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.

Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.

Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,

Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).

Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.

Karibuni Sana!
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Wewe sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, kiherehere cha kuzungumzia vyama vya siasa unakitoa wapi? Pumbavu!
 
Hizi zina ukweli. Baadae nitataka unijibu kwa nini mliruhusu Chadema imlipe mmiliki wake Bil 8+, deni hewa la kujitengenezea kwa mdomo.
Hayana ukweli, kuhusu deni la mmiliki, si kweli, CHADEMA ni chama Cha wanachama, hakina mmiliki, au ulimaanisha wanachama wanadai bilioni 8+?
 
2430149_EZQBmziXQAAvLC6.jpg

Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.

Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.

Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,

Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).

Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.

Karibuni Sana!
 
Attachments

  • EZQBmziXQAAvLC6.jpg
    EZQBmziXQAAvLC6.jpg
    42.9 KB · Views: 1
Hakuna sababu ya kuandika huna chama cha siasa,kwani hata ukiwa kwenye chama cha siasa siyo kosa.ILA ukae ukijua waweza dhani kwamba una akili kuliko watu wa ccm kumbe wewe mwenyewe ubongo wako ni mdogo hauna uwezo wa kupokea na kuelewa.
NAMALIZIA KWA KUSEMA HAYA YOOTE UNAYOYAONA AU KUYASIKIA yakifanywa na ccm,chadema na vyama vingine ni aina tu ya siasa na ndio siasa yenyewe
 
Back
Top Bottom