chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,084
- Thread starter
-
- #21
chama gani kimeruhusu? CHADEMA wameshika dola? Au kwenye katiba ya CHADEMA au ACT wazalendo au TLP Kuna mahali wamesemaje wataruhusu ushoga? Na hawa mashoga waliopo sasa mitaani nyie mnaopinga mmechukua hatua gani?Sawa sababu mmeruhusu ndoa za jinsia moja.
Umesahau ule mtiti mpaka mkaomba msaada kwa Pompeo? Mbona kuna mbunge alisema mnajua waliokuwa wabunge wenu wanasagana na hamjawachukulia hatua?chama gani kimeruhusu? CHADEMA wameshika dola? Au kwenye katiba ya CHADEMA au ACT wazalendo au TLP Kuna mahali wamesemaje wataruhusu ushoga? Na hawa mashoga waliopo sasa mitaani nyie mnaopinga mmechukua hatua gani?
Maneno ya vijiweni, leta hoja nikujibu, sio mipasho ya saloon na vijiwe vya kahawaUmesahau ule mtiti mpaka mkaomba msaada kwa Pompeo? Mbona kuna mbunge alisema mnajua waliokuwa wabunge wenu wanasagana na hamjawachukulia hatua?
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.
Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.
Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,
Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).
Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.
Karibuni Sana!
Kumbukumbu nzuri na ya kutia moyo
Hizi zina ukweli. Baadae nitataka unijibu kwa nini mliruhusu Chadema imlipe mmiliki wake Bil 8+, deni hewa la kujitengenezea kwa mdomo.Maneno ya vijiweni, leta hoja nikujibu, sio mipasho ya saloon na vijiwe vya kahawa
Wewe sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, kiherehere cha kuzungumzia vyama vya siasa unakitoa wapi? Pumbavu!Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.
Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.
Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,
Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).
Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.
Karibuni Sana!
Hayana ukweli, kuhusu deni la mmiliki, si kweli, CHADEMA ni chama Cha wanachama, hakina mmiliki, au ulimaanisha wanachama wanadai bilioni 8+?Hizi zina ukweli. Baadae nitataka unijibu kwa nini mliruhusu Chadema imlipe mmiliki wake Bil 8+, deni hewa la kujitengenezea kwa mdomo.

Mpumbavu,wamekuokota wapi?Hayana ukweli, kuhusu deni la mmiliki, si kweli, CHADEMA ni chama Cha wanachama, hakina mmiliki, au ulimaanisha wanachama wanadai bilioni 8+?