chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi.
Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama. Labda kinataka kuwatumia kwa shughuli maalum kutokana na utaalamu walio nao, hivyo waharibu amani ya nchi.
Kwa kuwa kuna tuna jeshi bora kabisa linalowajua, nashauri lisiwe linajiweka mbali kwa sababu sasa hivi maafisa wake wa zamani, baadhi wanataka kutumiwa na upande wa pili ambao wanataka kuitumia taaluma yao kusababisha uvunjifu wa amani.
Kota pini inashughulikiwa kwa kotapin