Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi.

Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama. Labda kinataka kuwatumia kwa shughuli maalum kutokana na utaalamu walio nao, hivyo waharibu amani ya nchi.

Kwa kuwa kuna tuna jeshi bora kabisa linalowajua, nashauri lisiwe linajiweka mbali kwa sababu sasa hivi maafisa wake wa zamani, baadhi wanataka kutumiwa na upande wa pili ambao wanataka kuitumia taaluma yao kusababisha uvunjifu wa amani.

Kota pini inashughulikiwa kwa kotapin
 
Ktk siasa ucheze kisiasa. Siasa ni dynamic state not static state
 
Your browser is not able to display this video.

Na kwakuwa polisi ni tawi la CCM.

Basi wananchi wasijihangaishe kupiga kura maana CCM haitotolewa kwa box la kura.
 
Mwandishi wa hotuba!!
Unatafuta janga jingine!! Chawa umekosa trip ya USA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unahaha
 
Waza tu kwa kutumia utumbo mwembamba? Kwamba askari akistaafu ajiunge tu chama chenu chakavu au ujumbe wake ni kwamba mauaji ya polisi unaona hayatoshi na jeshi la wananchi watumie silaha za kivita?
 
Je unajuwa uwezo wa komandoo mmoja na gharama za mafunzo yake na ujuzi alio nao. Je hawa wataalamu wanastahili kukaa tu bila kujishughulisha madhara yake ni yepi
 
Wako pia wanaotumiwa na upande wa kwanza au wewe ni kipofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…