Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

Double standard tu. Wale wanaojihusisha na ccm umewataja maana kule ndipo wapo wengi..
 
Hadi leo hii unaweza kutupa idadi ya waliokuwa wanajeshi na kujiunga/bado wapona CHADEMA?
 
Uzuri ni kwamba wananchi wameamka na wanajitambua. Harakati zinazoendelea ndio zitaenda kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini kwa kukiondoa chama kiovu cha ccm.

Ukiona hadi rais amepaniki kwa mshike mshike wa CDM ujue ametishika. Nguvu iko kwa wananchi sio serikali. Mambo ya stori za uvunjifu wa amani ni danganya toto inayoimbwa na walioko juu na kurudiwa na policcm ili waendelee kutafuna rasilimali za nchi kifisadi.

Biblia takatifu inasema hakuna amani kwa wabaya.
 
Total ignorance.
 
Akili yako ndogo sana!
Tatizo hujui tofauti kati ya Maslahi ya CCM na Maslahi ya Taifa!
Wewe unadhani Amiri Jeshi Mkuu lazima atoke CCM tu!
Hata CHADEMA kwa mujibu wa Katiba yetu wanaweza kutoa Amiri Jeshi Mkuu wakishinda uchaguzi wa Rais.
Tatizo hapa Tanzania watu hamna Elimu na maarifa.
Tim Walz na JD Vance hapo Marekani ni wagombea Urais wenza katika vyama viwili tofauti na wote ni wastaafu wa Jeshi la Marekani.
Kwa Wajinga kama nyie , democrasia ya kweli hapa Tanzania bado ina safari ndefu sana!
 
Ni ujinga wa aina hii ndio unazidi kuniaminisha kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa hauwezekani Tanzania. Elimu na uelewa wa siasa za masuala ni karibia zero.

Mdau kazama kwenye siasa za ushabiki wa kundi (tribal politics) na uchawa kwa viongozi wa serikali (personality cult worship). Tutaishia kuwa sthl country kama D Trump alivyotubatiza.
 
Unalia nini?
 
Vipi wale wa chamani,wali kuwa raia ama wamestaafu mara ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…