Pamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:-
1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara.
2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar).
3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema.
Bila shaka kama Mnyika angelikuwa na mke kipindi hicho, basi mkewe pia angekuwemo.
Ni kweli kuwa hawa wanawake waliingia bungeni bila mkono wa Mbowe na waume zao??
Naomba swali hili afikishiwe mzee wa ukweli na uwazi, Tundu Antipas Lissu.